Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.
Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa Mheshimiwa Rais na Taifa letu katika diplomasia na masuala ya kimataifa. Ikumbukwe ya kuwa sisi na Msumbiji ni kama ndugu na tuna historia ndefu sana na Taifa hilo tokea wakati wa Hayati Samora ,ambaye tumempa heshima kubwa sana hapa Nchini ikiwa ni pamoja na baadhi ya viwanja vya mpira na shule kuitwa kwa jina lake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.