Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

Huyo mgombea kaja kujieleza Sera zake za nje na Tanzania akishika zitakuwaje hamna shida

Joyce Banda WA Malawi alisumbua kudai mpaka sijui ilikosewa Ziwa nyasa uchaguzi ulipofika mpinzani wake akaja Tanzania kujieleleza sera za nje na Tanzania zitakuwaje tukamwelewa tukamsaidia ashike Uraisi Joyce Banda akapigwa chini hakuamini jinsi alivyoshindwa vibaya sanduku la kura ..Malawi na Tanzania hatuna tatizo Tena marafiki damu damu baada ya Joyce Banda kupigwa chini
 
Tanzania ndio nguzo ya amani na usalama katika ukanda huu.na ni ngumu sana kuiepuka na kuikwepa Tanzania kidiplomasia
 
Screenshot_20240612-184836.png

Hapo ni pale Black Sniper anakaa kwa ajili ya kudhibiti watukutu?
 
Nimegundua wewe ni mchanga sana katika masuala ya kisiasa. Unahitaji Elimu pana sana kusaidiwa. Nitajitahidi kuelimisha vyema tu.
Mwanasiasa hoya hoya hawezi kumuelimisha mtaalamu kama mimi.Unachokiita siasa ni upumbavu hakuna siasa ya namna hiyo kwa watu wenye akili.Jiulize ni nini kinafanya recognition of Palestine as a state inakuwa issue kubwa? Ukipata jibu La hilo utakuwa umepiga hatua kubwa cognitively
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.

Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa Mheshimiwa Rais na Taifa letu katika diplomasia na masuala ya kimataifa. Ikumbukwe ya kuwa sisi na Msumbiji ni kama ndugu na tuna historia ndefu sana na Taifa hilo tokea wakati wa Hayati Samora ,ambaye tumempa heshima kubwa sana hapa Nchini ikiwa ni pamoja na baadhi ya viwanja vya mpira na shule kuitwa kwa jina lake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3015577
Ok
 
Kwann kuna mtu wa kutafsiri hapo kwani huyo bwana ngeli haipandi
 
Back
Top Bottom