Tanzania ndio nguzo ya amani na usalama katika ukanda huu.na ni ngumu sana kuiepuka na kuikwepa Tanzania kidiplomasiaHuyo mgombea kaja kujieleza Sera zake za nje na Tanzania akishika zitakuwaje hamna shida
Joyce Banda WA Malawi alisumbua kudai mpaka sijui ilikosewa Ziwa nyasa uchaguzi ulipofika mpinzani wake akaja Tanzania kujieleleza sera za nje na Tanzania zitakuwaje tukamwelewa tukamsaidia ashike Uraisi Joyce Banda akapigwa chini hakuamini jinsi alivyoshindwa vibaya sanduku la kura ..Malawi na Tanzania hatuna tatizo Tena marafiki damu damu baada ya Joyce Banda kupigwa chini
Sawa sawa msemaji kurugenzi wa ikuluTanzania ndio nguzo ya amani na usalama katika ukanda huu.na ni ngumu sana kuiepuka na kuikwepa Tanzania kidiplomasia
Mimi siyo msemajiSawa sawa msemaji kurugenzi wa ikulu
Ova
Kuanzia sasa ndiyo tushakutrua sisi huo usemajiMimi siyo msemaji
Ahahahahaha! Umeeapiga Jiwe la utosi. Sijui kama watabaki hai! Ahahahahaha!!!Usitupangie cha kufanya .Mbona ninyi CHADEMA mlikuwa mnakwenda hadi kenya ,mkamtumaga hadi hayati Edward lowassa kuwawakilisha? Au mmeshasahau kama kawaida yenu ya usahaulifu kama kuku?
Mtaalamu ,kashafundishwa hadi kutembea mbele ya walinzi wake na au ulalaji
Mwanasiasa hoya hoya hawezi kumuelimisha mtaalamu kama mimi.Unachokiita siasa ni upumbavu hakuna siasa ya namna hiyo kwa watu wenye akili.Jiulize ni nini kinafanya recognition of Palestine as a state inakuwa issue kubwa? Ukipata jibu La hilo utakuwa umepiga hatua kubwa cognitivelyNimegundua wewe ni mchanga sana katika masuala ya kisiasa. Unahitaji Elimu pana sana kusaidiwa. Nitajitahidi kuelimisha vyema tu.
OkNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12.
Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa Mheshimiwa Rais na Taifa letu katika diplomasia na masuala ya kimataifa. Ikumbukwe ya kuwa sisi na Msumbiji ni kama ndugu na tuna historia ndefu sana na Taifa hilo tokea wakati wa Hayati Samora ,ambaye tumempa heshima kubwa sana hapa Nchini ikiwa ni pamoja na baadhi ya viwanja vya mpira na shule kuitwa kwa jina lake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3015577
CHADEMA inatakiwa kuwatwanga tu bila huruma mpaka akili zao zikae sawa.Ahahahahaha! Umeeapiga Jiwe la utosi. Sijui kama watabaki hai! Ahahahahaha!!!
Hao ni nyumbu akili haziwezi kuwa sawa.CHADEMA inatakiwa kuwatwanga tu bila huruma mpaka akili zao zikae sawa.
Kweli kabisa.wana matatizo makubwa sana akili mwao.Hao ni nyumbu akili haziwezi kuwa sawa.
Toa ujinga wako humu wewe.Unajaza server ya watu bure kwa kuandika ujinga wako hapa