Kuna mtu alimtonya kwamba, huwezi kushindana na hawa jamaa, kwa hiyo bila kupoteza muda waite kisha, bow down to them.Baada ya kupiga mkwara juzi hapa, leo kawaita kuweka mambo sawa
Kushney
Kuna mtu alimtonya kwamba, huwezi kushindana na hawa jamaa, kwa hiyo bila kupoteza muda waite kisha, bow down to them.Baada ya kupiga mkwara juzi hapa, leo kawaita kuweka mambo sawa
Kushney
Wameondoa misamaha mingi sana kwenye hizi taasisi, labda kama imebaki kwenye import za magari tuWanapewa ruzuku na misamaha mingi lakini tozo (charges) zao ni za kibiashara.
Provision ya huduma ikoje? Serikali vs Private sectorKote huko serikali Wana hospital na zahanati zao
Ulivyozumgumza hapa ni kama serekali yetu ni tajiri sana. Naona unajichanganya hadi unatolea mfano wa papa dhidi ya mabavu ya Marekani. Kwa taarifa yako hiyo US kuivamia Iraq sio pope tu hawakumsikiliza, bali hata Russia yenye kura ya veto ilipuuzwa, itakuwa Pope? Na kwakukusaidia tu, hiyo miradi ya Roman yenye udhamini wa serekali, hata serekali ikiondoa ufadhili nayo itadhurika kisawasawa.Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...
Itoshe tu kusema kwenye Dunia ya Sasa Umwamba wa Kanisa Katoliki Duniani umeshaporomoka sana kufuatia kuendesha mambo yake mengi kwa kutegemea Wafadhili ambao wamepungua sana.
Kanisa sasa limeshajikabidhi mikononi mwa Serikali na Wakuu wa Serikali wanalitambua hilo.
Hata kwetu hapa Serikali ikiondoa ufadhili mfano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Binafsi..TEC hawatamudu kuendesha SAUT kwa ufanisi nje ya kupandisha ada juu sana kufidia gepu la Wafadhili na kisha kukoswa Wanafunzi.
Hata Hospitali zao nyingi Teule na Rufaa kama Bugando Serikali ikijitoa na kuondoa ruzuku na kuwaachia TEC watazifunga.
Hii Taasisi kwa sasa ipo kijanja janja sana ila kiundani Uchumi ulishaporomoka hawana ubavu wa kutunishiana misuri na Serikali yoyote.
Mtu kama Trump ndiyo maana alimpa shit Papa baada ya kupigia kelele uvamizi wa Marekani kwa Irani.anajua hana lolote kwani Taasisi anayoiongoza iko taabani.
Vita ya kwanza ya Marekani na Iraq ya Sadam Hussein Papa Yohane Paul-II alienda kwa dharura Marekani kumuomba Bush Mkubwa asianzishe vita hiyo na siku hiyohiyo walipozungumza Usiku wake Bush akatoa amri ya Vita kuanza..
Hii ya hapa pia haishangazi..za akina Kitima zile ni kelele za Kihulka na binafsi tu siyo za Kitaasisi na hata wakubwa wake wakiambiwa wamdhibiti watatii.
Na hiki kikao ndiyo Mwisho wa kelele za Padri Kitima kwa Serikali.Hata Method Kilaini alitulizwa na akatulia.
Hata Lowassa alipohamia chadema kugombea urais alisikika akiwaambia wezake (KKKT) "jamani sasa ni zamu yetu". Usifikiri wakristo wa madhehebu mengi ni wajinga hawaoni hawajui kwamba Nyerere, Mkapa na Magufuli ni wakatoliki wote. Na unadhani hawajui kuwa Nchimbi na Lissu ni wakatoliki pia.Kumbe kilikuwa cha kkkt!
Kanisa Katoliki halikufurahishwa na mkakati wa Rais JPM kuimarisha shule na hospitali za umma. Kanisa halifurahishwi na kubinafsishwa kwa bandari ambayo sasa inaipa nguvu za kifedha serikali kuboresha huduma za kijamii ambazo zitavutia jamii itumie huduma za umma badala ya kanisa. Kanisa huwa linafanya ile kitu wachumi wanachokiita SWOT analysis kabla ya kuanzisha mradi wowote. Miradi mingi ya kanisa imejengwa kwa kutarajia udhaifu/umaskini wa serikali kushindwa kuhudumia watu wake ipasavyo. Moja kati ya threats kwa miradi ya kanisa ni serikali kuwa tajiri na kutoa huduma bora kwa watu wake. Hivyo kanisa huwa lingashangilia serikali kuwa maskini na kutoa huduma dhaifu (shule na matibabu) kwa watu wake.Ulivyozumgumza hapa ni kama serekali yetu ni tajiri sana. Naona unajichanganya hadi unatolea mfano wa papa dhidi ya mabavu ya Marekani. Kwa taarifa yako hiyo US kuivamia Iraq sio pope tu hawakumsikiliza, bali hata Russia yenye kura ya veto ilipuuzwa, itakuwa Pope? Na kwakukusaidia tu, hiyo miradi ya Roman yenye udhamini wa serekali, hata serekali ikiondoa ufadhili nayo itadhurika kisawasawa.
Mfano halisi ni hospitali ya Bugando maana wauguzi wengine wanalipwa na serekali, hao watapoteza ajira, na itabidi serekali iwatafutie ajira mwingine, huku matibabu kwenye hospitali hiyo yakipanda maradufu. Serekali inayoweza kuleta jeuri ni ile iliyo madarakani kwa ridhaa ya wananchi, sio hiyo ya kura 31m za uongo, na mauaji juu.
Hata majasusi wa magharibi huwa wanajificha madhabahuni, wanaishi kwenye taasisi za kidini.TEC ni kivuli Cha wakoloni kilichojificha katika ubavu wa dini
Huwezi kushindana nao kivipi? Serikali ilikuwa inawaheshimu kwasababu baada ya uhuru wao walikuwa na miundombinu mingi iliyoachwa na wakoloni kama vile shule na hospitali, lakini sio wakati huu ambao serikali inajenga shule kila kona na hospitali za mikoa na wilaya kila mkoa na wilaya na kuweka vifaa na wataalam. Siku sio nyingi hakutakuwa tena na hospitali za ubia.Kuna mtu alimtonya kwamba, huwezi kushindana na hawa jamaa, kwa hiyo bila kupoteza muda waite kisha, bow down to them.
Kachelewa sana ajueKuna mtu alimtonya kwamba, huwezi kushindana na hawa jamaa, kwa hiyo bila kupoteza muda waite kisha, bow down to them.
Hata sielewi umeongea utoto gani kwenye hii orodha yako. Kutokupenda kunazuia anayetaka kufanya jambo asifanye? Maana hata Simba haipendi Yanga ifanikiwe na kinyume chake. Kuna popote kanisa limezuia serekali kufanya wajibu wake kwa mujibu wa sheria?Kanisa Katoliki halikufurahishwa na mkakati wa Rais JPM kuimarisha shule na hospitali za umma. Kanisa halifurahishwi na kubinafsishwa kwa bandari ambayo sasa inaipa nguvu za kifedha serikali kuboresha huduma za kijamii ambazo zitavutia jamii itumie huduma za umma badala ya kanisa. Kanisa huwa linafanya ile kitu wachumi wanachokiita SWOT analysis kabla ya kuanzisha mradi wowote. Miradi mingi ya kanisa imejengwa kwa kutarajia udhaifu/umaskini wa serikali kushindwa kuhudumia watu wake ipasavyo. Moja kati ya threats kwa miradi ya kanisa ni serikali kuwa tajiri na kutoa huduma bora kwa watu wake. Hivyo kanisa huwa lingashangilia serikali kuwa maskini na kutoa huduma dhaifu (shule na matibabu) kwa watu wake.
Mfano, kanisa halikupenda Nyerere kutaifisha baadhi ya shule za makanisa na kuzifanya ziwe za umma, kanisa lilimkasirikia JPM kujenga hospitali kubwa kanda ya ziwa itakayoshindana na Bugando kwenye huduma, kanisa lilimtaka JPM kuondoa ule mfumo wa udahiri wa wanafunzi kujiunga vyuoni (CAS) moja kwa moja kutoka kwenye mfumo badala yake vyuo vyenyewe vichague badala ya kuletewa.
Kanisa kazi yake ni kuomba na kuabudu tu, siasa na uchumi ni mambo ya kaisari.Hata sielewi umeongea utoto gani kwenye hii orodha yako. Kutokupenda kunazuia anayetaka kufanya jambo asifanye? Maana hata Simba haipendi Yanga ifanikiwe na kinyume chake. Kuna popote kanisa limezuia serekali kufanya wajibu wake kwa mujibu wa sheria?
Hospital kama malolo tabora ina huduma Bora(customer care included) kuliko za serikali na kanisa,milambo hospital tabora ilikua na huduma Bora zaidi kuliko kitete ya mkoa na st Ann ya kanisa, mpaka ilipokuja maloloProvision ya huduma ikoje? Serikali vs Private sector
Mpaka 2009 hospital za kanisa zilikua zinakula zaidi ya 51% ya bajeti ya wizara ya afyaKivipi?
Ni kweli, ila viongozi na wafuasi wake ni watanzania, hivyo wana haki ya kujadili chochote kinachohusu nchi yao. Una lingine kwa msaada zaidi?Kanisa kazi yake ni kuomba na kuabudu tu, siasa na uchumi ni mambo ya kaisari.
📌Hawa TEC hawaizagi mechi kidwanzi, watamsikiliza ila msimamo ni ule ule
2021 Oktoba 17Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
- Bugando Medical Centre (BMC)
- St. Francis Referral Hospital: Ifakara
- St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
- Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
- St Joseph Mission Hospital Peramiho.
- St Ann Mission Hospital Ipuli
- Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
- St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
- Consolata Hospital Ikonda: Njombe
- Kabanga Mission Hospital Kigoma
- Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
- St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
- St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
- Chimala Mission Hospital Mbeya
Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
- Bugando Medical Centre (BMC)
- St. Francis Referral Hospital: Ifakara
- St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
- Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
- St Joseph Mission Hospital Peramiho.
- St Ann Mission Hospital Ipuli
- Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
- St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
- Consolata Hospital Ikonda: Njombe
- Kabanga Mission Hospital Kigoma
- Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
- St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
- St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
- Chimala Mission Hospital Mbeya