Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Weka ushahidi. Wacha manenoAkiongea kitima yanayokufurahisha,unahusisha usomi wake na TEC,siyo 2005 hata 2000 walitoa waraka wa kumuunga mkapa kwamba watampigia kura
Weka ushahidi. Wacha manenoAkiongea kitima yanayokufurahisha,unahusisha usomi wake na TEC,siyo 2005 hata 2000 walitoa waraka wa kumuunga mkapa kwamba watampigia kura
Sheikh wa bakwata huna hoja. Ona unabwabwaja tu.Wasingekua wanafosi vile sadaka zilizopewa majina mbalimbali,padre sivalon aliweka wazi kuwa bila serikali kuwapa ruzuku taasisi zingefungwa,wale ni makupe wanyonyaji
We mbwa kweli....Hapo kubwa bugando tu, zingine kawaida tu
Hospitali ya rufaa Ndanda, muongezee hapoWe mbwa kweli....
Alikuwepo. Ukiangali picha nyingine kwenye mitandao, yupo!Mbona askofu pisa sijamuona
Kanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!Si kweli,mi najua hospital kubwa za katoliki ni mbili tu,bugando na ndanda/peramiho
Maji sidhani kama waliwaza 😂Wamekunywa maji!
Sitting plan ilipangwa na nani? Kuna mtu yuko targeted hapo
Kote huko serikali Wana hospital na zahanati zaoKanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!
Ni za kawaida, hutaki!!..st Ann tabora utailinganisha na kitete,milambo na malolo?We mbwa kweli....
Makupe,wala bureSheikh wa bakwata huna hoja. Ona unabwabwaja tu.
🤣Maji sidhani kama waliwaza 😂
Kwamba !! !? 😀😀😀😀Mwenzake Nchimbi kaenda kuonana na kikwete
Kanisa ni mdau mkuwa wa serikali, haliwezi kushupaza shingo kama likiitwa na serikali. Kanisa linapokea misamaha mingi na ruzuku kubwa ya mabilioni kutoka serikalini. kanisa lina mali nyingi sana ambazo zinahitaji ulinzi wa serikali.View attachment 3647791View attachment 3647792View attachment 3647793
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na TEC na kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa yanayoigusa jamii, yakiwemo ya kisiasa, imani na maendeleo, pamoja na kuimarisha amani, mshikamano na kujenga mustakabali mwema wa Taifa.
Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa nafasi ya madhehebu na Viongozi wa Dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji na mshikamano, ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika ustawi na maendeleo endelevu ya Taifa.
Soma Pia: Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam
Mheshimiwa Rais aliwashukuru Maaskofu hao kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadiliana naye masuala yenye tija kwa Taifa na kuwahakikishia dhamira yake ya kuendeleza utamaduni wa kushauriana na kushirikisha Viongozi wa Dini na makundi mbalimbali katika jamii kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kila inapohitajika.
View attachment 3647795
😄😄Leo tumemalizana na "TEKE"
Kanisa pendwa KAKAKETI halina haja ya kuitwa ikulu.
Next up ni wavaa makobazi na sheikh ubwabwa.
Wanapewa ruzuku na misamaha mingi lakini tozo (charges) zao ni za kibiashara.Kanisa Katoliki lina hospitali na vituo vya afya zaidi ya 400 hapa nchini. Huwezi kuona impact, nyingi zinahudumia huko ndani ndani vijijini, ukiacha akina Peramiho, Bugando, Ndanda nk!
Sio mdau,kanisa kuu ndio baba na mama wa serikali!Kanisa ni mdau mkuwa wa serikali, haliwezi kushupaza shingo kama likiitwa na serikali. Kanisa linapokea misamaha mingi na ruzuku kubwa ya mabilioni kutoka serikalini. kanisa lina mali nyingi sana ambazo zinahitaji ulinzi wa serikali.
Kanisa haliwezi kupoteza maslahi yake kwasababu ya siasa za chadema, maana lilikuwepo hata wakati wa ujamaa wa Nyerere. Lina mambo ambayo yanategemea utendaji na upendeleo wa serikali inayotawala. Baada ya mapinduzi kushindikana Kanisa linatafiuta namna ya kurudi kwenye default position yake kabla ya jaribio la mapinduzi. Serikali inaweza ku pulldown support yake kwa kanisa kama kanisa litakuwa against na serikali; kitu ambacho Vatican haikitaki. Ni polisi hawahawa ambao wanalihakikishia kanisa na mali zake usalama.
Tunajua kanisa ndo liliwaleta wakoloni, na wakoloni walikuwa wakisali na kunywa pamoja na kanisa. Wakoloni walipoondoka waliliacha kanisa na wanataka kurudi kupitia kanisa, wamejificha kwenye madhabahu ya kanisa.Sio mdau,kanisa kuu ndio baba na mama wa serikali!
Kanisa likikuwepo kabla Tanganyika haijawa Tanzania!
Kanisa ndio limetengeneza Tanzania na serikali zake Hadi bakwata!!
Walimtuma kijana wao Burito kambarage Nyerere asimamie transition ya Tanganyika kuwa Tanzania!
Hivyo tu!!
Kivipi?Ni biashara zinazobustiwa kwa pesa za serikali
Unachokisema kaka tunakijua, na ndicho kilichosababisha Marais wote wakristo wa nchi hii walikuwa ni wakatoliki; Nyerere, Mkapa na Magufuli. Hiyo haikuwa kwa bahati mbaya tu. Na hata sasa ndiyo maana kanisa liko nyuma ya Lissu (Mkatoliki) pia, na baadae litahamia kwa Nchimbi (Mkatoliki) pia. Tunajua kwanini Mbowe aliporwa chama chao (KKKT).Sio mdau,kanisa kuu ndio baba na mama wa serikali!
Kanisa likikuwepo kabla Tanganyika haijawa Tanzania!
Kanisa ndio limetengeneza Tanzania na serikali zake Hadi bakwata!!
Walimtuma kijana wao Burito kambarage Nyerere asimamie transition ya Tanganyika kuwa Tanzania!
Hivyo tu!!
Kumbe kilikuwa cha kkkt!Tunajua kwanini Mbowe aliporwa chama chao (KKKT).