BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Unakosaje picha wakati zimewekwa kwenye uzi husika!......SIPATI PICHA
ILA WACHA NINYAMAZE KWANZA
Unakosaje picha wakati zimewekwa kwenye uzi husika!......SIPATI PICHA
ILA WACHA NINYAMAZE KWANZA
Unajua unachoandika au unabwabwaja tu. Unafahamu mambo ya Kaisari yawachiwe Kaisari na mambo ya Mungu yaachiwe Mungu. Unajua jukumu la Askofu katoliki wewe? Yeye ni daraja laukweli kati ya mtawala na wananchi. Anatakiwa kuwa karibu na Watawala ili awasaidie kuwaeleza ukweli hata kama atauawa. Ndiyo maana Kardinali anavaa kofia nyekundu (damu); yupo tayari kutoa damu yake kwa kutetea ukweli.Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...
Itoshe tu kusema kwenye Dunia ya Sasa Umwamba wa Kanisa Katoliki Duniani umeshaporomoka sana kufuatia kuendesha mambo yake mengi kwa kutegemea Wafadhili ambao wamepungua sana.
Kanisa sasa limeshajikabidhi mikononi mwa Serikali na Wakuu wa Serikali wanalitambua hilo.
Hata kwetu hapa Serikali ikiondoa ufadhili mfano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Binafsi..TEC hawatamudu kuendesha SAUT kwa ufanisi nje ya kupandisha ada juu sana kufidia gepu la Wafadhili na kisha kukoswa Wanafunzi.
Hata Hospitali zao nyingi Teule na Rufaa kama Bugando Serikali ikijitoa na kuondoa ruzuku na kuwaachia TEC watazifunga.
Hii Taasisi kwa sasa ipo kijanja janja sana ila kiundani Uchumi ulishaporomoka hawana ubavu wa kutunishiana misuri na Serikali yoyote.
Mtu kama Trump ndiyo maana alimpa shit Papa baada ya kupigia kelele uvamizi wa Marekani kwa Irani.anajua hana lolote kwani Taasisi anayoiongoza iko taabani.
Vita ya kwanza ya Marekani na Iraq ya Sadam Hussein Papa Yohane Paul-II alienda kwa dharura Marekani kumuomba Bush Mkubwa asianzishe vita hiyo na siku hiyohiyo walipozungumza Usiku wake Bush akatoa amri ya Vita kuanza..
Hii ya hapa pia haishangazi..za akina Kitima zile ni kelele za Kihulka na binafsi tu siyo za Kitaasisi na hata wakubwa wake wakiambiwa wamdhibiti watatii.
Na hiki kikao ndiyo Mwisho wa kelele za Padri Kitima kwa Serikali.Hata Method Kilaini alitulizwa na akatulia.
Mtu aliyesomea falsafa na kuielewa huwa na reasoning ya hali ya juu sana. Kamwe huwezi kumuingiza kwenye uchawa au ushawishi wako kirahisi tu kama unavyofikiri.Amini nawaambia wamejaa kwenye mfumo hao. Muda utaongea
Labda alifikiri na wavaa majoho nao wana njaa kama wale masheikh wake ubwabwa. Kumbe wenzake na wenyewe wanakula na kusaza kama yeye. Kwa hiyo ni bila bila. Hivyo ameona akubali tu matokeo.Aliwaita wavaa majoho kwa dharau mwanamke mshenz sana kawaitia nini leo?ovyoo
Wewe uko sahihi. Maaskofu wa Katoliki ni watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Hilo liko wazi kabisa kutokana na elimu yao ya falsafa. Utawaita, watakusikiliza. Ila hutakuwa na uwezo wa kuwapa maagizo ya kutekeleza kama ufanyavyo kwa wasaidizi wako wengine.Huwezi kuitwa ikuli ukagoma, ni ama uende na usimamie unachokiamini au uende usikilize, unyamaze ama kukubaliana na ulichoitiwa.
Uamuzi utabakia kwa aliyeitwa.
Hawana hospital za kihivyo kila Jimbo,mfano tabora wakifunga hospital zao hakuna athari,ruzuku hizo ni janjajanja ya kuziokoa taasisi za kanisa zisifeUnadhani wakifunga hospitali moja kwenye kila jimbo lao tu ambazo nyingi ni referral hivi vituo vya Serikali vya Afya vitachukua wiki ngapi kuhimili huo mrundikano wa wagonjwa ?
TEC haina nguvu yoyote,hapo ni siasa jumuishi tu,wajione na wao wamo,mama angekua na mentality ya magu pasingekua na marifhiano wala watu kuitwa hivi,infact baadhi ya wavaa majoho wangekua wanapiga story na lissuDuuuhh haya jambo jema sana kama ameona umuhimu na TEC katika siasa za Tanzania japo aliwakemea sana kwa matamko yao manane.
TEC ina nguvu sana maana ni kama utawala ndani ya utawala kwa mifumo yake ya kikanisa.
Wala na kusaza jasho la masikini kwa tozo(sadaka,zaka,fungu la kumi,ruzuku hazina)Labda alifikiri na wavaa majoho nao wana njaa kama wale masheikh wake ubwabwa. Kumbe wenzake na wenyewe wanakula na kusaza kama yeye. Kwa hiyo ni bila bila. Hivyo ameona akubali tu matokeo.
Kwani uwongo!?....nakumbuka ktk hotuba yake ya " Who are you " aliwarushia kijembe kuwa wanamchukia kwasababu ya imani yake.
Wahaya hutoka Kagera mpaka ocean road hospitalHali inakuwa mbaya sana kule maana hakuna hospitali za maana zaidi ya hiyo.
2005 hao wasomi wa falsafa walimuita jakaya 'chaguo la Mungu' na kauli nyingi za kichawa,alipokata maslahi yao waka-activate mfumo wao, propaganda dhidi ya jakaya zikaanzaMtu aliyesomea falsafa na kuielewa huwa na reasoning ya hali ya juu sana. Kamwe huwezi kumuingiza kwenye uchawa au ushawishi wako kirahisi tu kama unavyofikiri.
Serikali haishindwi kumuua m-tec ikitaka,hawahitaji aende ikulu,mafuvu yenu yamejaa majiWamekunywa maji!
Sitting plan ilipangwa na nani? Kuna mtu yuko targeted hapo
Wakifunga hospitali zao maana yake nchi 70% ya hospitali za rufaa zitakuwa zimefungwa.Wahaya hutoka Kagera mpaka ocean road hospital
Si kweli,mi najua hospital kubwa za katoliki ni mbili tu,bugando na ndanda/peramihoWakifunga hospitali zao maana yake nchi 70% ya hospitali za rufaa zitakuwa zimefungwa.
wee jamaa jau sana🤣🤣🤣Wakizingua Mafwele na CCM watateka TEC yote,Mashule, Hospital mpaka na Wanafunzi na Wagonjwa wote.
Hapo Kitima kabebwa na akina Nkwande...."..Ahiii!twende yakaishe..."tu..
Labda watumie vitisho vya kumuotesha ndoto za ajabu Samia..maana hiyo Teknolojia Wakatoliki wanayo...Mwezi mzima mfululizo awe anaota anacharaza kinanda na kupiga chetezo St Joseph Kanisani.Samia na yeye ajibu kwa Majini.kiumane..
Reading between the lines naona how you would like your religious institution to be as powerful as TEC!Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...