Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Serikali haishindwi kumuua m-tec ikitaka,hawahitaji aende ikulu,mafuvu yenu yamejaa maji
Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
  • Bugando Medical Centre (BMC)
  • St. Francis Referral Hospital: Ifakara
  • St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
  • Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
  • St Joseph Mission Hospital Peramiho.
  • St Ann Mission Hospital Ipuli
  • Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
  • St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
  • Consolata Hospital Ikonda: Njombe
  • Kabanga Mission Hospital Kigoma
  • Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
  • St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
  • St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
  • Chimala Mission Hospital Mbeya
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
 
TEC haina nguvu yoyote,hapo ni siasa jumuishi tu,wajione na wao wamo,mama angekua na mentality ya magu pasingekua na marifhiano wala watu kuitwa hivi,infact baadhi ya wavaa majoho wangekua wanapiga story na lissu
Huijui RC muulize waziri wako wa mambo ya nje ya kilichompleleka Roma au fuatilia siasa za dunia hii ndiyo utajua nguvu ya utawala wa Roma.
Kwa taarifa kanisa katoliki lina mtandao mpana tena unaheshimika na watu wake hapa nchini kuliko wa CCM.
 
Baraza la vyama rafiki walipokutana walikaa kama wapo ukumbini wanakamati ya fitina ila hawa ma bwana wamewekwa kwenye meza yamkao kama baraza la mawaziri nini maana yake nasiye ma shekh tukiitwa tukae namna hyo syo kuwekwa kwenye ukumbi hata ukitaka kuandika kitu unaandikia juu ya goti
Mm nashaur muwekewe mikeka ili baadae kitu Cha pilau na wali zkija mle bila kua na wasiwasi
 
Saa100 ni sawa na Delila!
Watumishi wa mungu, someni habari za Samson na Delila,kwenye kitabu kitakatifu!
Biblia inatupa simulizi la Delila katika Waamuzi 16:4–21, mwanamke aliyekuwa karibu na Samsoni, lakini akatumia ukaribu huo kumshawishi mpaka akafichua siri ya nguvu zake. Mwisho wake, Samsoni alisalitiwa, akanyolewa nywele na kupoteza nguvu zake.
Delila alitumia maneno tu kumshawishi Samsoni au alimpa na lile tunda kama alivyofanya Hauwa kwa Adamoo?
 
Huijui RC muulize waziri wako wa mambo ya nje ya kilichompleleka Roma au fuatilia siasa za dunia hii ndiyo utajua nguvu ya utawala wa Roma.
Kwa taarifa kanisa katoliki lina mtandao mpana tena unaheshimika na watu wake hapa nchini kuliko wa CCM.
Mtandao mpana hata coca-cola wanao,tuliona Trump alivomzingua papa juzi,katoliki haina nguvu hizo mlizoaminishwa inazo,rejea Mussolini na Hitler walivyowa-treat,hapa ni Nyerere tu na ukatoliki wake ndiyo alijenga mifumo ya kuliheshimu kanisa lake
 
Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
  • Bugando Medical Centre (BMC)
  • St. Francis Referral Hospital: Ifakara
  • St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
  • Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
  • St Joseph Mission Hospital Peramiho.
  • St Ann Mission Hospital Ipuli
  • Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
  • St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
  • Consolata Hospital Ikonda: Njombe
  • Kabanga Mission Hospital Kigoma
  • Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
  • St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
  • St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
  • Chimala Mission Hospital Mbeya
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
Siyo kwamba hayo maeneo hakuna hospital,zipo,za serikali na binafsi,mfano wakifunga st Ann tabora,kuna hospital binafsi Bora zaidi inaitwa malolo,lakini kuna za serikali kitete referral na milambo hospital ziko poa zaidi ya st Ann,lakini kuna nkinga hospital kitambo igunga kule ya maana tu na nyingine nyingi tu
 
Toka maktaba
06 July 2024
Iringa, Tanzania

HOSPITALI YA TOSAMAGANGA JIMBO KATOLIKI IRINGA YAPANDISHWA HADHI KUWA HOSPITALI RUFAA MKOA WA IRINGA

View: https://m.youtube.com/watch?v=3o5yBHylxTM

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezipongeza taasisi za dini likiwemo Kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi.

Amesema kuwa kitendo cha Kanisa Katoliki cha kuamua kuipandisha hadhi Hospitali ya Tosamaganga na kuwa Hospitali ya Rufaa kwa ngazi ya Mkoa ni cha kishujaa kwani kitaufaanya mkoa wa Iringa kuwa na hospitali mbili za rufaa na hatimaye kupunguza adha kwa wakazi wa mkoa huo kusafiri kwenda mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma kufuata huduma za kibingwa.

Ametoa pongezi hizo leo (Jumamosi, Julai 06, 2024) mara baada ya kuzindua hospitali ya rufaa ya Tosamaganga ngazi ya Mkoa pamoja na huduma za mionzi kwenye hospitali hiyo, iliyopo wilayani Iringa, mkoani Iringa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. Benjamin Mfaume ameishukuru Serikali kwa misaada ya hali na mali inayotolewa kwenye hospitali hiyo ili kuiwezesha kutoa huduma bora kwa Watanzania.

“Katika mwaka 2022/2023, Serikali ilitoa shilingi bilioni 2.2 zikiwa ni mishahara ya wafanyakazi, dawa kupitia MSD na Basket Fund kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na "OC" kupitia Serikali Kuu na hadi sasa Serikali bado inaendelea kufanya hivyo,” alisema.

Alisema hospitali hiyo, inahudumia wagonjwa kati ya 62,000 hadi 78,000 kwa mwaka ikiwa ni wastani wa wagonjwa 7,000 hadi 8,000 kwa mwezi huku idadi kubwa ikiwa ni ya akinamama wajawazito na watoto.

1786435415181.png
 
Siyo kwamba hayo maeneo hakuna hospital,zipo,za serikali na binafsi,mfano wakifunga st Ann tabora,kuna hospital binafsi Bora zaidi inaitwa malolo,lakini kuna za serikali kitete referral na milambo hospital ziko poa zaidi ya st Ann,lakini kuna nkinga hospital kitambo igunga kule ya maana tu na nyingine nyingi tu
Wewe unaangalia uwepo wa Hospitali na siyo uwepo wa Huduma.
Hilo gap watakalolicha hizi zahanati za kata na Health Center zitaweza kuliziba ?
 
Tec Ina nguvu kuliko serikali! Nguvu ya Tec huioni Wala haitumii mabomu ila 70% ya gvt work force Iko chini ya TEC Kuanzia walimu mpaka mainjinia wa tanesco jwtz Hadi tiss Sasa hao wote wakiamua liwalo na liwe gvt inaanguka hapo hapo.
Stori za kusadikika na kujirisha upepo hizo..umerithi kutoka kwa Wazazi Wako uliowakuta kwenye UKATOLOKI..tu .tofauti na hapo huna hoja maalumu ya kuwa huko..
 
Wewe uko sahihi. Maaskofu wa Katoliki ni watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Hilo liko wazi kabisa kutokana na elimu yao ya falsafa. Utawaita, watakusikiliza. Ila hutakuwa na uwezo wa kuwapa maagizo ya kutekeleza kama ufanyavyo kwa wasaidizi wako wengine.

Hao watu wana serikali yao yenye makao makuu Vatican, wana msimamo wao, imani yao, utashi wao, na maamuzi yao.
Ndugu yetu kwa makusudi au kwa ujinga ameshindwa kujua Kanisa Katoliki pia ni Serikali.
 
Mtandao mpana hata coca-cola wanao,tuliona Trump alivomzingua papa juzi,katoliki haina nguvu hizo mlizoaminishwa inazo,rejea Mussolini na Hitler walivyowa-treat,hapa ni Nyerere tu na ukatoliki wake ndiyo alijenga mifumo ya kuliheshimu kanisa lake
Jibu hoja kwa nini mlienda kwa Pope???
Kwa nini pamoja na kejeri ya nyaraka 8 bado mnaomba kuzungumza nao Ikulu???
Haya mambo ni swala ka uelewa na siyo maneno ili usikike.
 
Back
Top Bottom