wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Leo tumemalizana na "TEKE"View attachment 3647791View attachment 3647792View attachment 3647793
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na TEC na kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa yanayoigusa jamii, yakiwemo ya kisiasa, imani na maendeleo, pamoja na kuimarisha amani, mshikamano na kujenga mustakabali mwema wa Taifa.
Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa nafasi ya madhehebu na Viongozi wa Dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji na mshikamano, ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika ustawi na maendeleo endelevu ya Taifa.
Soma Pia: Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam
Mheshimiwa Rais aliwashukuru Maaskofu hao kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadiliana naye masuala yenye tija kwa Taifa na kuwahakikishia dhamira yake ya kuendeleza utamaduni wa kushauriana na kushirikisha Viongozi wa Dini na makundi mbalimbali katika jamii kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kila inapohitajika.
View attachment 3647795
Hicho Chuma Kilimpiga Biti Muliro Akafyata KabisaMbona askofu pisa sijamuona
Mbona askofu pisa sijamuona
KOMBO Ni Mtu Mdogo Sana Kuliko Hao Viongozi Wa TECHivi zile hehaheka za jumuiya sijui gani, Kombo kwenda kuwashtaki TEC kwa papa, n.k zikiishia wapi?
Alitakiwa ayaweke sawa kabla ya uchaguziAnajaribu kuweka mambo sawa ila it is too late
HILI swali ,Hapa nani kamuita mwenzake ?
Tujue muelekeo
Hili kwangu ni funzo ambalo naliishi barabara. Nimekwepa wakina Delilah wengi mno ambao Shetani kwa nyakati tofauti amekuwa akiniletea!. I know who I am before my CREATOR!Saa100 ni sawa na Delila!
Watumishi wa mungu, someni habari za Samson na Delila,kwenye kitabu kitakatifu!
Biblia inatupa simulizi la Delila katika Waamuzi 16:4–21, mwanamke aliyekuwa karibu na Samsoni, lakini akatumia ukaribu huo kumshawishi mpaka akafichua siri ya nguvu zake. Mwisho wake, Samsoni alisalitiwa, akanyolewa nywele na kupoteza nguvu zake.
Kwa pigo zilezile kwa sasa Tumehamia Chadema.Hivi zile hehaheka za jumuiya sijui gani, Kombo kwenda kuwashtaki TEC kwa papa, n.k zikiishia wapi?
Si kuna kipindi alikua anawabagaza ,sasa imekuaje tenaView attachment 3647791View attachment 3647792View attachment 3647793
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.
Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na TEC na kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa yanayoigusa jamii, yakiwemo ya kisiasa, imani na maendeleo, pamoja na kuimarisha amani, mshikamano na kujenga mustakabali mwema wa Taifa.
Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa nafasi ya madhehebu na Viongozi wa Dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji na mshikamano, ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika ustawi na maendeleo endelevu ya Taifa.
Soma Pia: Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam
Mheshimiwa Rais aliwashukuru Maaskofu hao kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadiliana naye masuala yenye tija kwa Taifa na kuwahakikishia dhamira yake ya kuendeleza utamaduni wa kushauriana na kushirikisha Viongozi wa Dini na makundi mbalimbali katika jamii kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kila inapohitajika.
View attachment 3647795
Hata Mimi. Angeyafanya kabla ya uchaguzi ingemake sense!Hayo mazungumzo nina mashaka kama yatakuwa na matokeo chanya, naona yanafanyika kwa lengo tu la kuwaridhisha jumuia ya madola na yale masharti yao.