Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...

Itoshe tu kusema kwenye Dunia ya Sasa Umwamba wa Kanisa Katoliki Duniani umeshaporomoka sana kufuatia kuendesha mambo yake mengi kwa kutegemea Wafadhili ambao wamepungua sana.

Kanisa sasa limeshajikabidhi mikononi mwa Serikali na Wakuu wa Serikali wanalitambua hilo.

Hata kwetu hapa Serikali ikiondoa ufadhili mfano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Binafsi..TEC hawatamudu kuendesha SAUT kwa ufanisi nje ya kupandisha ada juu sana kufidia gepu la Wafadhili na kisha kukoswa Wanafunzi.

Hata Hospitali zao nyingi Teule na Rufaa kama Bugando Serikali ikijitoa na kuondoa ruzuku na kuwaachia TEC watazifunga.

Hii Taasisi kwa sasa ipo kijanja janja sana ila kiundani Uchumi ulishaporomoka hawana ubavu wa kutunishiana misuri na Serikali yoyote.

Mtu kama Trump ndiyo maana alimpa shit Papa baada ya kupigia kelele uvamizi wa Marekani kwa Irani.anajua hana lolote kwani Taasisi anayoiongoza iko taabani.

Vita ya kwanza ya Marekani na Iraq ya Sadam Hussein Papa Yohane Paul-II alienda kwa dharura Marekani kumuomba Bush Mkubwa asianzishe vita hiyo na siku hiyohiyo walipozungumza Usiku wake Bush akatoa amri ya Vita kuanza..

Hii ya hapa pia haishangazi..za akina Kitima zile ni kelele za Kihulka na binafsi tu siyo za Kitaasisi na hata wakubwa wake wakiambiwa wamdhibiti watatii.

Na hiki kikao ndiyo Mwisho wa kelele za Padri Kitima kwa Serikali.Hata Method Kilaini alitulizwa na akatulia.
We ni lijinga tu
 
Muungwana huchutama, HAKI kwanza mengine baadae. Kwa nini tugombanie fito wakati tunajenga nyumba moja? Maslahi ya chama au mtu yasiondoe maslahi ya nchi. Tushindane kwenye kuijenga nchi na si kuoneshana umwamba!!
NAwewe ulipoteza ndg 29 octoba? kama sio mhanga majibu yako yatakuwa ease to kama ivi yaani lkn kuna watu wanamaumivu usipime
 
Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...

Itoshe tu kusema kwenye Dunia ya Sasa Umwamba wa Kanisa Katoliki Duniani umeshaporomoka sana kufuatia kuendesha mambo yake mengi kwa kutegemea Wafadhili ambao wamepungua sana.

Kanisa sasa limeshajikabidhi mikononi mwa Serikali na Wakuu wa Serikali wanalitambua hilo.

Hata kwetu hapa Serikali ikiondoa ufadhili mfano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Binafsi..TEC hawatamudu kuendesha SAUT kwa ufanisi nje ya kupandisha ada juu sana kufidia gepu la Wafadhili na kisha kukoswa Wanafunzi.

Hata Hospitali zao nyingi Teule na Rufaa kama Bugando Serikali ikijitoa na kuondoa ruzuku na kuwaachia TEC watazifunga.

Hii Taasisi kwa sasa ipo kijanja janja sana ila kiundani Uchumi ulishaporomoka hawana ubavu wa kutunishiana misuri na Serikali yoyote.

Mtu kama Trump ndiyo maana alimpa shit Papa baada ya kupigia kelele uvamizi wa Marekani kwa Irani.anajua hana lolote kwani Taasisi anayoiongoza iko taabani.

Vita ya kwanza ya Marekani na Iraq ya Sadam Hussein Papa Yohane Paul-II alienda kwa dharura Marekani kumuomba Bush Mkubwa asianzishe vita hiyo na siku hiyohiyo walipozungumza Usiku wake Bush akatoa amri ya Vita kuanza..

Hii ya hapa pia haishangazi..za akina Kitima zile ni kelele za Kihulka na binafsi tu siyo za Kitaasisi na hata wakubwa wake wakiambiwa wamdhibiti watatii.

Na hiki kikao ndiyo Mwisho wa kelele za Padri Kitima kwa Serikali.Hata Method Kilaini alitulizwa na akatulia.
Unaongea na kuandika mavi. Serikali ikiondoa ufadhili kwenye vyuo vyao si nao watafunga? Sasa mantiki yako ni ipi? Chuki ya TEC? Huiwezi!
 
View attachment 3647791View attachment 3647792View attachment 3647793

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na TEC na kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa yanayoigusa jamii, yakiwemo ya kisiasa, imani na maendeleo, pamoja na kuimarisha amani, mshikamano na kujenga mustakabali mwema wa Taifa.

Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa nafasi ya madhehebu na Viongozi wa Dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji na mshikamano, ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika ustawi na maendeleo endelevu ya Taifa.

Soma Pia: Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

Mheshimiwa Rais aliwashukuru Maaskofu hao kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadiliana naye masuala yenye tija kwa Taifa na kuwahakikishia dhamira yake ya kuendeleza utamaduni wa kushauriana na kushirikisha Viongozi wa Dini na makundi mbalimbali katika jamii kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kila inapohitajika.

View attachment 3647795
Watapokea mzigo?
 
Majanga tu....Nyumba za Utawa na Maparokiani huko baadhi hulala hata njaa..uhuu..
Tuna ndugu zetu huko bwana..tunatuma mpaka hela ya Chupi wakati zamani Huko ndiyo walikuwa wanagawia chupi watu za kutoka Uropa..

Sawa.
 
Unaongea na kuandika mavi. Serikali ikiondoa ufadhili kwenye vyuo vyao si nao watafunga? Sasa mantiki yako ni ipi? Chuki ya TEC? Huiwezi!
Nimchukie Mtu anayetegenezwa?!!
Wewe Juha Fulani..kwani Mikopo zamani si ilikuwa ni kwenye vyuo vya Serikali tu??
Hali ilikuwaje hapo Nyegezi Social kwa mfano? Na Dr Slaa akipambana sana Bungeni...
 
View attachment 3647791View attachment 3647792View attachment 3647793

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na TEC na kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa yanayoigusa jamii, yakiwemo ya kisiasa, imani na maendeleo, pamoja na kuimarisha amani, mshikamano na kujenga mustakabali mwema wa Taifa.

Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa nafasi ya madhehebu na Viongozi wa Dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji na mshikamano, ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika ustawi na maendeleo endelevu ya Taifa.

Soma Pia: Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

Mheshimiwa Rais aliwashukuru Maaskofu hao kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadiliana naye masuala yenye tija kwa Taifa na kuwahakikishia dhamira yake ya kuendeleza utamaduni wa kushauriana na kushirikisha Viongozi wa Dini na makundi mbalimbali katika jamii kuhusu masuala muhimu ya kitaifa kila inapohitajika.

View attachment 3647795
Mojawapo ya maswali. WHERE IS POLEPOLE??????!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom