Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

Naona ajuza kagonga mwamba kila akisogea mbele anaona vizingiti sasa anatafuta mapicha ya kutumia "MABEBERU" mdogo ananyooshwa si ndii huyu alisema TEC ni watoa matamko kuoverride urais wake feki.

Nina uhakika akina Kitima wana uelewa wa mambo na hasa lile suala la Kitima kushambuliwa wanalijua vizuri na hata waliofanya.
 
Mbona wale wakatoliki wa vijora kutoka Parokia ya Faza Mapendo hawajaalikwa ?
 
well done TEC 🤝
 
Sikubaliani na mkutano huo, ni ukatili mtupu , ni ushetani mtupu, unajisi mtupu, usaliti mtupu, ni uharamia mtupu, wizi mtupu, .....
 
Baada ya kupiga mkwara juzi hapa, leo kawaita kuweka mambo sawa

Kushney
 
Namuona hapo Nkwande amesinzia kabisa...

Itoshe tu kusema kwenye Dunia ya Sasa Umwamba wa Kanisa Katoliki Duniani umeshaporomoka sana kufuatia kuendesha mambo yake mengi kwa kutegemea Wafadhili ambao wamepungua sana.

Kanisa sasa limeshajikabidhi mikononi mwa Serikali na Wakuu wa Serikali wanalitambua hilo.

Hata kwetu hapa Serikali ikiondoa ufadhili mfano wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Binafsi..TEC hawatamudu kuendesha SAUT kwa ufanisi nje ya kupandisha ada juu sana kufidia gepu la Wafadhili na kisha kukoswa Wanafunzi.

Hata Hospitali zao nyingi Teule na Rufaa kama Bugando Serikali ikijitoa na kuondoa ruzuku na kuwaachia TEC watazifunga.

Hii Taasisi kwa sasa ipo kijanja janja sana ila kiundani Uchumi ulishaporomoka hawana ubavu wa kutunishiana misuri na Serikali yoyote.

Mtu kama Trump ndiyo maana alimpa shit Papa baada ya kupigia kelele uvamizi wa Marekani kwa Irani.anajua hana lolote kwani Taasisi anayoiongoza iko taabani.

Vita ya kwanza ya Marekani na Iraq ya Sadam Hussein Papa Yohane Paul-II alienda kwa dharura Marekani kumuomba Bush Mkubwa asianzishe vita hiyo na siku hiyohiyo walipozungumza Usiku wake Bush akatoa amri ya Vita kuanza..

Hii ya hapa pia haishangazi..za akina Kitima zile ni kelele za Kihulka na binafsi tu siyo za Kitaasisi na hata wakubwa wake wakiambiwa wamdhibiti watatii.

Na hiki kikao ndiyo Mwisho wa kelele za Padri Kitima kwa Serikali.Hata Method Kilaini alitulizwa na akatulia.
 
Hapo ni udanganyifu tu unafanyika. Hakuna la maana hapo litatokea baada ya hicho kikao.
 
Platinum member!!
Ahahaha just ahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…