Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Kwani Pascal Mayalla ni Mhariri wa chombo gani cha habari? Hawezi kuwepo hapo bhana! Hivi hata kipindi kile sijui aliingia kwa kutumia wadhifa gani!!

Angehudhuria, bila shaka angemtwanga MAMA swali gumu kuhusu Kurejeshwa kwa Mchakato wa Katiba Mpya.
 

Someone majula daaaah kaniacha hoi anawaza teuzi kwenye mambo ya msingi
 
Ndio maana tumepanga kuandamana nchi nzima ili uchaguzi mkuu 2025 usifanyike. Bora hela za uchaguzi zitumike kujenga shule, barabara au vyuo vikuu.
Yaani unataka lile bunge la nduguyai linalodai nyongeza ya mshahara liendelee kubaki? Au bunge lisiwepo kabisa kwani yeye anatosha? Sijakuelewa ati!
 
Tatizo lake bado analilia legacy ya yule gaidi huku akijua mama ni mtu wa haki na mwenye hofu na Mungu wake
 
Madam anaupiga mwingi
Tunampenda hivi viswali haviweze kuiondoa legacy aliyoijenga kwa siku 100
Anazidi legacy ya MIAKA zaidi ya mitano
 
mama siku moja aje jf tutakuwa wastaarabu apitie maoni na maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…