Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Bado anaendelea kujibu maswali ya Wahariri, likiwemo swali la kipuuzi kabisa lililo ulizwa na mtu mzima mwenye IQ ndogo la kwa nini wazee eti hawateuliwi na wakati waliiunga mkono ccm! kutoka kwa huyu Mzee abdallah Majura!..
Hawa wazee ndio waliotuelewesha na wanataka waendelee kutuchelewesha. Bure kabisa huyo mzee.
 
Bado anaendelea kujibu maswali ya Wahariri, likiwemo swali la kipuuzi kabisa lililo ulizwa na mtu mzima mwenye IQ ndogo la kwa nini wazee eti hawateuliwi na wakati waliiunga mkono ccm! kutoka kwa huyu Mzee abdallah Majura!...
Litakuwa ni moja ya wale bavicha wanaodemka kwamba mataga wakomeshwa?
 
Mikutano ya hadhara ya kisiasa na Katiba mpya: itategemea uchumi kukua, nchi iwe imesimama vizuri... anahitaji muda zaidi kuyashughilikia hayo.
Acha kuuma maneno, kwa sasa mikutano ya hadhara sip ruksa. Kipaumbele ni uchumi
Bavicha mtulie hatutaki vurugu
 
Mkuu isije kuwa wameambiwa baadhi ya topics hawatakiwi kuzigusa kabisa hivyo ni usanii MTUPU!
Bado anaendelea kujibu maswali ya Wahariri, likiwemo swali la kipuuzi kabisa lililo ulizwa na mtu mzima mwenye IQ ndogo la kwa nini wazee eti hawateuliwi na wakati waliiunga mkono ccm! kutoka kwa huyu Mzee abdallah Majura!...
 
Mungu amefanya mabadiliko ambayo yamebadili hali ya mchezo na sasa timu inacheza kitimu si kama awali ambapo mipira yote ilikuwa inapelekwa kwa "staa wa timu"

Mabadiliko haya yamekuja wakati mzuri ambao timu ilikuwa inahitaji mabadiliko ya lazima.

Ball possession PMJ 20% SSH 80%
 
Mkuu isije kuwa wameambiwa baadhi ya topics hawatakiwi kuzigusa kabisa hivyo ni usanii MTUPU!
Hili linawezekana kabisa mzee baba! Maana hata swali la Katiba Mpya kalijibu kisiasa kama alivyofanya mtangulizi wake!

Sasa wewe muache tu. Siku bomu likilipuka, hana wa kumlilia.
 
Amejibu maswali haya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…