Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Hili linawezekana kabisa mzee baba! Maana hata swali la Katiba Mpya kalijibu kisiasa kama alivyofanya mtangulizi wake!

Sasa wewe muache tu. Siku bomu likilipuka, hana wa kumlilia.
Bomu lilipuke kutoka wapi? Nani wa kulipua hilobomu..
 
Bomu lilipuke kutoka wapi? Nani wa kulipua hilobomu..
Time will tell. Just wait and see! Sisi Wazalendo tunataka Katiba Mpya. Tumechoshwa na Katiba inayo ipendelea ccm miaka nenda!
 
Time will tell. Just wait and see! Sisi Wazalendo tunataka Katiba Mpya. Tumechoshwa na Katiba inayo ipendelea ccm miaka nenda!
Unataka wewe na nan? Uchumi kwanza , hayo mambo ya katiba ni upuuuuuuziiiii
 
Time will tell. Just wait and see! Sisi Wazalendo tunataka Katiba Mpya. Tumechoshwa na Katiba inayo ipendelea ccm miaka nenda!
Kwa hiyo wewe unataka katiba mpya ili tu chadema ipate mwanya wa kwenda ikulu basi
 
Kwa hiyo wewe unataka katiba mpya ili tu chadema ipate mwanya wa kwenda ikulu basi
Mbona sijaitaja Chadema sehemu yoyote ile kwenye maelezo yangu! Nchii ni ya mfumo wa vyama vingi.

Hatuwezi kuendelea kuikumbatia Katiba inayo kipendelea chama kimoja tu kati ya vingi vilivyopo. Hii siyo haki hata kidogo.
 
Basi andamana
 
Unataka wewe na nan? Uchumi kwanza , hayo mambo ya katiba ni upuuuuuuziiiii
Hata Lowasa, Sumaye na Membe walisema hivi hivi kipindi hicho, ila walipotoka tu ccm kwa nyakati fulani, waliona umuhimu wa Katiba Mpya.

Mkiwa ndani ya ccm mnakuwa vipofu. Hivyo siwezi kuwashangaa.
 
Nikimuangalia Jokate na huyu mama naona falsafa yao kiuongozi ni moja tu wamejikita ktk kujibrand zaidi kuliko kukaa na kufanya kazi
Kwa maneno yako hujui joket aliyoyafanya kisarawe.Mpe haki yake hata Kama anapenda mapichapicha ya mitandaoni.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ajipange Kwanza yeye na wapigaji wenzake wa MAYANGA.

Na kweli jamaa alikua bepari kishenzi mpk alikula pesa za wahanga wa tetemeko,mla hela za rambirambi.

Labda alitaka kuleta culture ya kuteka watu.
 
Jamani hebu nisaidiyeni, hii ya vyama va kisiasa viendelee kufanya siasa kwenye maeneo yao, kamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…