Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

Hapa Mataga na CDm kwa wivu na husuda zao wataanza kusema eti' Mama Samia anakaribisha mabeberu...wakati juzi walikesha mitandaoni kumpongeza Rais wa Zambia kwa kualikwa na Makamu wa Rais wa Marekani na taasisi nyingine za kimataifa.

Taratibu tunarudi katika hadhi na heshima yetu kidoplomasia kimataifa.
 
ukichukulia wanawake toka enzi za Hawa wanadanganyika kiwepesiii!

ah waiter mzuriii naomba Bia nyingine hapa...

Kukutana na wapinzani mfikie muafakaa name haki itendeke ngumu ila mazungu yalotutawala toka hukoo majuu wanateleza tuu ikulu yaaaniii!

waiter fungua bia nipe naglasiii....
oh sorry ntaendelea badae ngoja ninywe mapafu kadhaa! bia tamu ila kawaiter katam zaidi dooh!!
 
I hope Her Excellency knows that the honourable gentleman is a seasoned traveling salesman for high level, global crafty traders.

Make no mistake, he can even sell her the Indian Ocean with his very exceptional, beguiling parlance.
 
Unaweza ukatueleza kwanini Makamu wa Rais (Mwanamke) wa Marekani hakumwalika Rais wetu ( Mwanamke) na badala yake akamwalika Rais (Mwanaume) wa Zambia?
 
Tanzania si kisiwa.....

Hatuwezi kujitenga na nchi nyinginezo.......

VIVA TANZANIA VIVAA

#SiempreSSH
#KaziIendelee
 
Taifa letu si la kikomunisti....

Taifa letu bora halifungamani na upande wowote....muhimu ni kuyalinda maslahi ya taifa tu....

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#TanzaniaSiKisiwa
 
I hope Her Excellency knows that the honourable gentleman is a seasoned traveling salesman for high level, global crafty traders.

Make no mistake, he can even sell her the Indian Ocean with his very exceptional, beguiling parlance.
Daah mwamba umenichekesha kwa sauti usiku huu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani umeifanya kama mzaha mkuu, huku ukipitisha hoja kali kabisa ambayo uwezo wa kuijadili kwenye jamvi kama hili haupo/haufanyiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…