Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

Nimemkumbuka Mugabe alivyokuwa kamdindia TB.

robert-mugabe-let-blair-and-the-british-government-take-quote-on-storemypic-42011.png
 
Sijaona, au sikumbuki.

Hivi amewahi kukutana na mchina yeyote tokea aokote dodo chini ya mchongama? Balozi au hata mabeberu wa huko uchina?
Najuwa tumepata chanjo zao za corona huko Zanzibar, vinginevyo nimesikia kelele nyingi tu za Bagamoyo.
 
Tony Waziri mkuu aliyekuwa smart sana kichwani... hajawahi shindwa kwa hoja...
Alishindwa kuwa convince waingereza vita ya zIraq na walitaka kumshitaki.
Alishindwa kupatanisha The Quartet Middle East peace policy na akajiuzulu.
 
Hapa Mataga na CDm kwa wivu na husuda zao wataanza kusema eti' Mama Samia anakaribisha mabeberu...wakati juzi walikesha mitandaoni kumpongeza Rais wa Zambia kwa kualikwa na Makamu wa Rais wa Marekani na taasisi nyingine za kimataifa.

Taratibu tunarudi katika hadhi na heshima yetu kidoplomasia kimataifa.
Yaani mpaka nimekosa Cha kukuambia nimekihurumia mkuu. Yaani Sana sema haujui mkuu. Mpaka naomba ufunguliwe rohoni uyaone ya dunia.
Mbona wakati wa jpm hawakuja.
Kumbuka hao jamaa huwa hawawapendi viongozi wanaotetea maslahi ya nchi zao na wananchi wao.
Tony akaja ili akufaidi ama umfaidi.wao saivi wanatumia strategy ya Hali juu Sana ambayo wewe huioni ili watutawale milele tu. Umeona wachina mbinu Yao madeni yanakuzidi nachukua shamba lako ama namiliki nyumba yako.

Hao jamaa Wana target za 200/300/500/1000 years to come.
Wanajua land ni natural resources na inaisha unalijua ilo wanaleta janga watu wanakufa.

Ni kwa Nini walimuandama Gadafi,Mugabe,Hugo Chavez,kwa Putin wananyari ,ama kwa mchina.
So jamaa wanawaza wajukuu zao kizazi hata Cha kumi mbele.
Sie ukipata three bedrooms, vitz,na salary ya above 500k take home per month uhakika.
Kazi ni kula tu mbususu hakuna wazo jingine.
Korona Kuna mtu alikuwa analengwa ukumbuke. They create virus then wanajifanya Kama wanatafuta chanjo.
Basi tu nakuhurumia Sana.
Maslahi Yao yasipokuwepo utawaona watakuongea vibaya Sana.

Wanadai pk,mu7 hatoki madarakani mbona malkia wa uk hatoki ama Angela Merkiel amekaa miaka mingapi.
Ndo Mana Mugabe alijibu journalist kuwa hili swali ni kwa African leaders tu ama hata wa Europe unaliuliza.
Yametosha
 
Daah mwamba umenichekesha kwa sauti usiku huu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Tony Blair ndiye aliyepigia debe Tanzania kuuziwa na BAE Systems rada ya kivita tena obsolete kwa bei ya “kuruka” ya paundi million 28 (£28m). Sehemu kubwa ya pesa hizo iliingizwa kwenye akaunti za benki huko uswiss na ufisadi mzima uliratibiwa na mfanyabiashara Sailesh Vithlani (mtu wa kati) kwa niaba ya wakubwa wa serikali Tanzania.

Rada ya kivita huku hata hiyo air force ya kupigana aerial combat hatuna? Sisi tulihitaji rada ya kawaida ya air traffic control (ATC). Lakini Tony Blair akatushawishi kununua ya kivita!

Tushukuru Bunge la Uingereza lililosimamia maslahi yetu kidete tukarudishiwa chetu: “chenji ya Rada”. Serikali yetu ilikataa kuwa hatukuibiwa na wabunge wetu kama kawaida yao ilikuwa ni mwendo wa kugonga meza kuiunga mkono serikali. Licha ya kutoitambua chenji, wakulu bado waliipokea na kuifisidi nayo! Ndio Tz hiyo.
 
Blair's company paid just £315,000 tax on income of more than £12m | The Independent | The Independent

When you have already spent half a million pounds on rent, £300,000 on furniture and £2.3m paying your staff, an extra £8m on unexplained “administrative expenses” might seem to be stretching credulity, but that is what Tony Blair has told Her Majesty's Revenue and Customs, which as a consequence has received a rather smaller cheque from the former Prime Minister than it might have expected.

Wakati wa uongozi wake walituuzia radar fake ambayo ilikuwa imenunuliwa kwa bei kubwa. Hivi Watanzania tutajifunza lini? Sio kila mzungu ni mtu mzuri wa kutupenda sana sisi.
 
Matapeli au wafadhili wetu hao 😂😂😂
 
Angekuwa muovu Jiwe kakutana na Blair usingeandika hivi. Alipokutana na rostam mbona ukulifungua hilo domo lako???
 
Tapeli ni yule aliyetapeli elfu ishirini za wamachinga.
 
Angekuwa muovu Jiwe kakutana na Blair usingeandika hivi. Alipokutana na rostam mbona ukulifungua hilo domo lako???
Hii mijamaa minafiki sana Mkuu, Jiwe hakukutana tu na Rostam, but alikuwa ni mmojawapo wa washauri wake wa mambo ya uchumi! Mshauri mwingine wa Jiwe miaka yake 2 ya mwisho ya uongozi alikuwa Lowassa! Lowassa and Rostam watu ambao kwa miaka kadhaa tuliaminishwa na watu hawa hawa kuwa ndiyo mafisadi namba 1 wa nchi hii
 
Back
Top Bottom