Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Wajinga hawa jamaa, hizi kodi zilizokusanywa hii miezi 3 ingekuwa kipindi cha jiwe kusingekalika!! Yangeimbwa mapambio kila kona ya nchi hii!! Na wengine wangepata uteuzi kupitia hayo mapambio ya kibwegeKapuku anapomwita tajiri anayemlisha tapeliš¤£š¤£
Dah!! Sitasahau lile tukio Mkuu wangu....[emoji38][emoji38][emoji38] mdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
Rais Magufuli alipenda sana Sifa haijawahi tokea.Wajinga hawa jamaa, hizi kodi zilizokusanywa hii miezi 3 ingekuwa kipindi cha jiwe kusingekalika!! Yangeimbwa mapambio kila kona ya nchi hii!! Na wengine wangepata uteuzi kupitia hayo mapambio ya kibwege
1week before Rostam alikuwa Ikulu wanapiga Picha na Fisadi Magufuli.[emoji38][emoji38][emoji38] mdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
Mapitio mnawasilisha saa ngapi pale ubungo?[emoji38][emoji38][emoji38] mdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
Hamshindi Tundu Lisu!Rais Magufuli alipenda sana Sifa haijawahi tokea.
And sifa ndiyo zimemuua. How can you fight with COVID through prayers? That's SillyRais Magufuli alipenda sana Sifa haijawahi tokea.
Bora huyu Rostam,hata akiiba anawekeza ndani,unajua Makampuni ya Rostam yameajili Watanzania wangapi?na analipa kodi kiasi gani? uwezi linganisha Rostam ,na akina Brail matapeli wakubwa wa duniaDah!! Sitasahau lile tukio Mkuu wangu....
Na kama hiyo haitoshi, Rostam akapigiwa debe na Mkulu eti akagombee ubunge Morogoro...
Hakika CCM ni zaidi ya uijuavyo...
niliwahi kujiuliza huyu ndugu ni timamu kweli?And sifa ndiyo zimemuua. How can you fight with COVID through prayers? That's Silly
Anaupiga mwingi. Tulia dawa ikuingieBlair's company paid just £315,000 tax on income of more than £12m | The Independent | The Independent
When you have already spent half a million pounds on rent, Ā£300,000 on furniture and Ā£2.3m paying your staff, an extra Ā£8m on unexplained āadministrative expensesā might seem to be stretching credulity, but that is what Tony Blair has told Her Majesty's Revenue and Customs, which as a consequence has received a rather smaller cheque from the former Prime Minister than it might have expected.
Wakati wa uongozi wake walituuzia radar fake ambayo ilikuwa imenunuliwa kwa bei kubwa. Hivi Watanzania tutajifunza lini? Sio kila mzungu ni mtu mzuri wa kutupenda sana sisi.
Rostam ni mwekezaji tu...kama angekuwa fisadi huenda angeshtakiwa kwenye mahakama ya ufisadi na uhujumu uchumi.Naona Misukule ya Jiwe bado inaendelea kuhangaika na Samia!!
Hivi Jiwe amekunywa chai mara ngapi na Rostam Azizi pale Ikulu?! KHuyu Rostam si ni moja ya mafisadi wakubwa nchi hii?!!
Naona Misukule ya Jiwe bado inaendelea kuhangaika na Samia!!
Hivi Jiwe amekunywa chai mara ngapi na Rostam Azizi pale Ikulu?! KHuyu Rostam si ni moja ya mafisadi wakubwa nchi hii?!!
Unaweza kukuta Blair ndiye anawatunzia pesa zao hao masisiyemuunashangaa tapeli siseyemu kushirikiana na tapeli la kimataifa
Uteuzi wa kiby bado unaendeleaWajinga hawa jamaa, hizi kodi zilizokusanywa hii miezi 3 ingekuwa kipindi cha jiwe kusingekalika!! Yangeimbwa mapambio kila kona ya nchi hii!! Na wengine wangepata uteuzi kupitia hayo mapambio ya kibwege
Hii inashangaza sana kwamba Mtu kasoma lakini bado hajui jema na baya. Bado tuko mbali mnoInashangaza unakuta mtu msomi lakini msukule wa marehemu
Wanafahamu vizuri tu sema huwa wanajitoa ufahamu kama njia ya kujipendekeza kupata vyeo vya teuzi.Hii inashangaza sana kwamba Mtu kasoma lakini bado hajui jema na baya. Bado tuko mbali mno