Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

Walikuwa washauri wake namba moja wa uchumi, rejea mchango wa kujenga kanisa Chamwino, wao ndio sababu ya jamaa kumtosa Bashite
Kushauri siyo shida swala je ameshiriki nia zao mbovu za kufisidi nchi
 
Heshima ya jemedari lazima ilindwe Mkuu, pamoja na mabaya yake alikuwa na mazuri pia, kuutangazia ulimwengu kafa na Corona ilikuwa ni bad move..
Siyo badi news kwa kikwete wala huyu mama yenu ,wao wangekuwa wa kwanza kumponda kuwa alikuwa ovyo ,hivyo usitudanganye hiyo kovidi isimpate mke wake wanaye lala naye
 
Ukiwa na akili nyepesi kama hizi ni lazima utawadharau wanawake na hapo ndipo utakapokutana na mkono wa chuma.
 
Tatizo ninyi wanawake mnataka sana udroo nasisi wanaume!! Hiyo haipo iwe mkono wachuma au washaba
Tatizo la wanaume wa kibongo ni kukariri maisha. Wanadhani leo ni lazima ifanane na kesho. Huyu Mama Samia anaweza kuwatoa nishai mpaka mkabaki mmeduwaa.

Kwa taarifa yako mimi ni mwanaume kama wewe kirengased
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…