Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Malekomslilam, naelekea ubalozi wa Cuba kupata taarifa kamili.Ponjoroooo
Salamaleko,😁
Naam.
Amekutapeli nini?Mjamaa yoyote akifika Cuba na kuona maisha wanayoishi lazima aukane. Lakini Slow Slow ni tapeli anayotaka kula yeye tu.
Na uponjoro wako kweli utaiweza cuba!!??,,Malekomslilam, naelekea ubalozi wa Cuba kupata taarifa kamili.
Hiyo sababu ni story za kusadikika, embu tafuta credible reasonsKama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
Ni sababu mkuu, tatizo hujasomea Cuba,Hiyo sababu ni story za kusadikika, embu tafuta credible reasons
😂Ni sababu mkuu, tatizo hujasomea Cuba,
Nikienda mimi nakuja kumpiga makofi kabisa.Na uponjoro wako kweli utaiweza cuba!!??,,
Hakuna nchi maskini kama Cuba hali mbaya magari ya mwala 1960.Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
Umeelewa uzi?Hakuna nchi maskini kama Cuba hali mbaya magari ya mwala 1960.
Kwa kifupi hata tamasha lake la kiswahili tulilikacha
Kuna fukwee nzuriii sanaa CUBANgoja next year niitie maguu hukooo July fulani hivi
Ova
Mm mwenyewe nilishangaa alipohamishiwa Cuba nikajisemea wanemuona ana mamb ya kikomunist wakaamua kumpeleka sehemu ya wacommunist wenzie kumbe walikuwa wakipalilia bomu.Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
VieiteAmekutapeli nini?