Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

Inavutia. Unaenda Cuba kujifunza mapinduzi

Mapinduzi ya nini ? Isijekua ni kumpindua mchepuko achukue nafasi ya wife
 
Polepole alipofika na kuishi Cuba akakumbuka itikadi za ukomunisti zilizomkuza. Polepole ni mnyerere mwenzetu sema alizuzuka na magari ya V8. Amerudi kwenye mstari.
 
Hakuna nchi maskini kama Cuba hali mbaya magari ya mwala 1960.
Kwa kifupi hata tamasha lake la kiswahili tulilikacha
Media za magharibi zinakuaribu sana kasikikilize fursa zilizopo Cuba polepole alieleza wanataka kutoa na Msaada wa Dawa za hospital Tanzania unaleta utani Wewe ambae umeshindwa kuendesha mabasi tu ya mwendokasi unataka kujifananisha na Cuba
 
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.

Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
Sio kweli. Hakuna mwanamapinduzi asiye na nidhamu kwa viongozi wake. Twambie m Cuba gani mwanapinduzi aliwahi kumvimbia Fidel Castro? Yaani wazawa wa mapinduzi hajavimba, aliyeenda kukaa miaka miwili tu eti ni Mwamba? Ahahahahaha!!
 
Media za magharibi zinakuaribu sana kasikikilize fursa zilizopo Cuba polepole alieleza wanataka kutoa na Msaada wa Dawa za hospital Tanzania unaleta utani Wewe ambae umeshindwa kuendesha mabasi tu ya mwendokasi unataka kujifananisha na Cuba
Tatizo hutembei, tumekaa na hao ombaomba Florida tunajua madhila wanayopitia
 
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.

Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
❌......majina matatu yako wapi yaliyopelekwa mkutano mkuu kutoka halmshauri kuu ya taifa kama ilivyo ada ya ccm kila mwisho wa awamu ya vipindi viwili kwa mwaka wenye namba witiri?
 
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.

Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
Ilikuwa DENIAL OF ACCESS!! sasa jamaa limekataa! linavamia maakuli ya watu!!
 
Back
Top Bottom