Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

[emoji2297][emoji2297][emoji2297]...sasa itakuwaje aisee???

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kuna bwana mlevi alishindwa kazi ya DED halmashauri X akapelekwa TAMISEMI( Mwalimu) sasa ameteuliwa na kupandishwa Cheo kuwa wa Manispaa. Ukija hapa Mwanga Bar Dodoma humkosi, kila saa amelewa
 
Hap hatuna rais.ulishaona wapi urais wa kurithi?nchi zinazojitambua huwa hakuna huo utaratibu wa kurithisha ili kuepuka madhara ya warithi maana huwa hawana uzalendo kabisa
 
Muwe mnajiridhisha na taarifa zenu kabla hamjatuma humu, huo mkeka uliouweka ni wa zamani na sio wa sasa!
 
Muwe mnajiridhisha na taarifa zenu kabla hamjatuma humu, huo mkeka uliouweka ni wa zamani na sio wa sasa!
Upo serious au unatania? Msigwa kapost jana, hiyo hapo angalia jina namba 80
 
Angalia hii mikeka ya leo linganisha na huo wa kwako uone kama iko sawa
 

Attachments

  • Screenshot_20230607-212655.jpg
    86.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230607-212544.jpg
    71.6 KB · Views: 1
Huyu kweli huwa hajisumbui kusoma, ni anasign tu kwa ile kauli yake ‘na hili mkalitazame’.
 
Mkeka umejaa kujuana. Kwa kweli hatuna uongozi.. na wala hatuna TISS.
 
Mama nchi ishamshinda tuombe kudraza mola tu mafisadi yamemzidi nguvu
 
Tuombe mungu amalize urithi wake kwa amani. Tabu wahuni wanataka auze nchi ndio atoke. Inatisha sana.
 
Unataka kusema katibu kiongozi katupiga siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…