Nchi naamaKaua halafu anaunda tume imchunguze, does it make sense?
Yeye hatakiwi kuunda tume maana yupo hapo uchaguzi Uliosababisha vifo vya watuAnaunda tume baada ya kubanwa na UN kuhusu kuchunguza vifo na sio vinginevyo
Vibaka na watu wa mataifa jiraniKakubali "vibaka" waombewe?
Hatatoa tamko lolote kuhusu waliofanya mauaji hayo. Wataendelea kudunda bila kuchukuliwa hatua yoyote.Lakini ni pazuri pa kuanzia. Kama kakiri kuna "watu" walioitwa na kweli wamekufa basi pia atoe tamko juu ya wale waliofanya mauaji. Yes, waliuawa wapate haki yao na walioua wakamatwe na wafikishwe panapostahili maana pole tu ya mdomo alafu wauaji waachwe tu uraiani bado haimake sense
Atoke madarakaniPole yake haina mashiko
Ni maajabuNchi za nje zilishatoa pole kitambo yeye ndo anatoa pole leo
Kuna wale machawa (chama cha mawakili wa serikali, bakwata na the like) waliokuwa wanalaani na kuwaita wahuni wale walio kufa na walioandamana sasa sijui watasahisha maneno yao.Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana.
Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Hana akiliNi maajabu
WTFAmessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema matokeo yake yatatumika kongoza maridhiano.
Eti kiini cha Tatizo wakati yeye ndio tatizoRais Samia amsema natoa pole kwa famia zote zilizopoteza wapendwa wao kwenye vurugu siku ya uchaguzi na serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili kujua kiini cha taizto na taarifa hizo itatuongoza kwenye mazungumzo ya amani.
si unaelewa maji yameanza kuzidi unga wake? Tena alisema kabisa bila hata mshipa wa aibu eti "hao ni raia wa nchi nyingine!" yaani hakuna mtanzania aliekufa!! Ila al4chokifanya ndo amezidisha uchungu mara 5 kwa raia!! Hebu tuone disemba 9 raia watafanya nini!Leo ndio kajua kunawatu waliuwawa.
Kipindi anapewa cheti akulijua ilo
Kipindi anaapishwa yani hakua anafahamu
Wamebakiwa midomo wazi huko especially BAKWATA, TPBA na yule sheekhe mjinga... nahisi hao ndio walimshauri kuuaKuna wale machawa (chama cha mawakili wa serikali, bakwata na the like) waliokuwa wanalaani na kuwaita wahuni wale walio kufa na walioandamana sasa sijui watasahisha maneno yao.