PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukitaka kujua huyu mama ni msanii, sikiliza vizuri tone yake wakati anaongea. Samuya hana sifa za kuwa kiongozi wa nchi hii
 
Huyu mbona anazungukazunguka tu? Aliyetoa amri ya kupiga watu risasi za moto ni nani? Watu hawakufa kwa kukanyagwa na watu wengine (stampede)!
 
Watu walioandamana samia alisema sio watanzania sasa anatoq pole kwa nani ? hivi bado mnakaa mnamsikiliza mtu kama huyu.

Jeshi la polisi walioandama walisema sio watanzania lakini kesi wamepewa watanzania na upinzani.
Ni psycopath
 
Anatoa pole kwa Nyumbu wenzako we si ulijificha juu ya dari
 
Too little, too late!
 
Leo wamekuwa wanae tena!😀😀
 
Tuna Rais psycopath
 
Anaunda tume baada ya kubanwa na UN kuhusu kuchunguza vifo na sio vinginevyo
Anaunda tume ya nini wakati kina mwafwele walijitamba kabisa wamwshika watu watu wanapotea wanakufa hawasemi leo eti tume tume yanini mafwele na genge lake anatajwa kila siku wamemfanyeje inauzi sana lugha za kishamba kama hizi hatuzitaki anatoa pole leo kwanini siku anapishwa hakutoa pole
 
Ameona aibu baada ya kuona mataifa ya nje yanatoa pole naye kaamua kutoa pole
 
Watu walioandamana samia alisema sio watanzania sasa anatoq pole kwa nani ? hivi bado mnakaa mnamsikiliza mtu kama huyu.

Jeshi la polisi walioandama walisema sio watanzania lakini kesi wamepewa watanzania na upinzani.
Halafu mazafaka Muliro ameshasema zile videoclips za mauaji ni za AI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…