Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 Feb 21, 2023 #1 Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
bandeko andeko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2021 Posts 1,080 Reaction score 2,143 Feb 21, 2023 #2 poleni watumishi.
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,127 Reaction score 3,062 Feb 21, 2023 #3 Mama Edina said: Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4 Click to expand... Unafanya kazi ofisi gani hiyo haina hata photo copy mashine?
Mama Edina said: Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4 Click to expand... Unafanya kazi ofisi gani hiyo haina hata photo copy mashine?