Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Wana JF habari zenu.
Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana.
JF tuweke walau picha halisi, je akina nani wanatakiwa kuondoka? Mimi naanza na hii list moja, wengine jazieni..
1: Mkurugenzi Mkuu, ATCL
2:
3:
4:
5:
6:
7:
8:
9:
10
Tujaribu kutaja tuwajue hawa watu, maana hizo ni hela nyingi sana