Halmshauri kuna ujinga mwingi na sijui lini tutaumaliza, wakibana kwenye makusanyo,wanatoboa kwenye matumiziWakurugenzi halmashauri Wengi tu
Waziri husika ndio wa kwanzaSuala la ndege bana, sio TRC
1. PM 2. Spika 3. Jaji Mkuu ndiyo wanafuata wengineWana JF habari zenu.
Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana.
JF tuweke walau picha halisi, je akina nani wanatakiwa kuondoka? Mimi naanza na hii list moja, wengine jazieni..
1: Mkurugenzi Mkuu, ATCL
2:
3:
4:
5:
6:
7:
8:
9:
10
Tujaribu kutaja tuwajue hawa watu, maana hizo ni hela nyingi sana
Unampa TANESCO Makamba yaani fisi unamkabidhi bucha?Nilishangazwa na mama samia kumteua mtu kama mwanaidi maajar ambae alikua mwanasheria wa Tanesco kwenye kesi ya dowans, yeye ndio alishauri Tanesco wavunje mkataba.
Leo amepata uteuzi, yanatokea mambo Kama hayo kwa teuzi alizofanya alitegemea nini?
Kwanini asianze Waziri Mkuu ambaye ni msimamizi wa shughuli za serikali?waziri WA fedha ilibidi aonyeshe mfano WA uwajibikaji apo
Mi naona Rais aanze yeye na Rais mpya akija anaikuta serikali yote haipo, aunde upya baada ya uchaguzi huru kuitishwa.Kwanini asianze Waziri Mkuu ambaye ni msimamizi wa shughuli za serikali?
Tuanze kwanza na PM labda wataanza kuogopa hata kdgMi naona Rais aanze yeye na Rais mpya akija anaikuta serikali yote haipo, aunde upya baada ya uchaguzi huru kuitishwa.
Rais ndiye shida, kwanini watendaji wake wamdharau hivi?Tuanze kwanza na PM labda wataanza kuogopa hata kdg
Huyo inajulikana hajui kitu lakini kumtoa ni njia ndefu sn tuanze na hawa kwanzaRais ndiye shida, kwanini watendaji wake wamdharau hivi?
Sure tubadili mfumo wa ajira kwanzaWatangaze ajira husika ili hao watu wapishe wengine wenye sifa za kiushindani kupitia soko la ajira. Watu walete wasifu wao na washindanishwe kwa haki, na tena interviews ziendeshwe na kampuni zenye hadhi ya kimataifa.
Tabia ya kuokoteza na kukabidhi watu wa hovyo ofisi nyeti za umma kwa kigezo tu cha kuwa ni kada mwaminifu wa CCM zimepitwa na wakati, na hasa ndiyo chanzo cha madudu haya yote yanayotokea.