Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

Ngoja ni buni kitu kutokana na hili yaani kudadavua jambo kwa kina kutokana na yaliyopo, yaliyokuwemo, 'situation analysis' with identifying factors, namna bora ya kulitizama hili la ukwapuaji bila katiba mpya nitarudi hapa ila lazima niisajili hiyo 'analysis'
 
Mama pia awe makini mwana kuna tetesi kuwa anakoroga Wizara kahaa.
 
1. Mchumi anayejidai mwenye viwango

2. Yule Gavana mpya wa BOT

3. Justin(Alikuwa mkurugenzi wa TADB now ndiyo kamishna wa madeni ya nje)

4. Mafuru naibu katibu mkuu fedha

NB
Mkurugenzi wa ATCL ni mtu wa mwisho sana siyo mlipaji hao niliwataja ndiyo walitakiwa kuhoji kabla kuhidhinisha pesa
 
Taifa linalohusudu maneno matupu haliwezi kupiga hatua nzuri, Kila siku tunasikia hatua zinachukuliwa Sasa hatua gani hizo!,mara sijui watupishe Sasa wakupishe Nini?, Wakupishe waende wapi na kwaajili ya Nini?, Hao watu si wa kuongea nao eti wakupishe! Ajabu kweli, watu mnawajua waliokula pesa then mnasema wawapishe ,hao watu ni kutandika kabisa pesa hizo wazitapike...
 
Ivi na akili zako una Imani na Hangaya
Yule ye apa anachuma tu ila Hana uchungu na nchi hii ya wadanganyika a.k.a nyumbu wa Serengeti ndo maana alisema mnaua nchi yenu wenyewe kuweni na akili basi mbona muda wote hamufikirii hata nchi yenu kutwa kujadili ujinga
 
Kwa kifupi ni serikali nzima ya CCM pamoja na Wakurugenzi wa Vitengo vyote
 
Rais wetu unafikiri ameshushwa kutoka hewani anatoa general statement siju bila kuww specific ni nani mhusika
 
Wakipisha watakuja , wengine nao watapisha ..chain inaongezeka umeshaaona nchi ya namna hiyo
 
I concur with you yeye atakuwa zake huko kibanda maiti baada ya miaka 2 maana najua mwaka huu agombe tena
 
'walio husika watupishe'! Siamini kama raisi wa nchi anaweza kusema hivi. Kauli hii ilipaswa kutamkwa mwenyekiti wa kijiji. Sasa naelewa kwanini nchi hii ni maskini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…