Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Za ndani kabisa Unajua zile vurugu za Mo 29, Samia zilikuwa zinampa mawazo siku zote 40 kabla ya tarehe 9 ila alivyoona Jana watu wameandamana Kwa amani basi akasema haya manyumbu yashakuwa maoga yameingia kwenye mfumo
Sasa Unaambiwa Samia ana furaha kuliko siku zote huko Chamwino sababu anajua maandamano ya amani yeye hawezi kuua na atakuwa anawaangalia tu mnavyoangaika barabarani kila kukicha yeye muda huo yupo ikulu katuma vibaraka wake waangaliwe hayo maandamano yenu ya amani.