Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nakuona KUBWA LA MANYUMBU unaongoza mapambano ya kwenye keyboard.Haya toka barabarani kaandamane ili umnyime amani, au umefungwa kamba usitoke?
Nyumbu ni chakula cha mamba na mtaliwa sana.
Haya toka barabarani kaandamane ili umnyime amani, au umefungwa kamba usitoke?
Nyumbu ni chakula cha mamba na mtaliwa sana.
Kwani yuko mzima?Za ndani kabisa Unajua zile vurugu za Mo 29, Samia zilikuwa zinampa mawazo siku zote 40 kabla ya tarehe 9 ila alivyoona Jana watu wameandamana Kwa amani basi akasema haya manyumbu yashakuwa maoga yameingia kwenye mfumo
Sasa Unaambiwa Samia ana furaha kuliko siku zote huko Chamwino sababu anajua maandamano ya amani yeye hawezi kuua na atakuwa anawaangalia tu mnavyoangaika barabarani kila kukicha yeye muda huo yupo ikulu katuma vibaraka wake waangaliwe hayo maandamano yenu ya amani.
Kwani kuna nini mkuu?Kwani yuko mzima?
Njia aliyopitia magu ndiyo hiyo hiyo anayopitia Samia, hukuielewa sura ya waziri mkuu juzi?
Unganisha dots.Kwani kuna nini mkuu?
kwahio mlivowadanganya wakaandamane mkiwa online sio 🤣Tuendelee kudumisha amani wakuu huku ndugu zetu wakiwa wameuwawa kinyama
Unganisha dots.
Salamu za D9 zilitolewa D8 na waziri mkuu, kwanini hazikutolewa na Samia mwenyewe? Kwanini watoe picha ya zamani mama akiongea na naibu balozi wa USA na kusema ni ya hivi punde kumbe ni uongo. Je tangu aongee na wazee wa Dar ameonekana Tena?
jana walikua wanasema lengo lao watu wakae ndan ndo maandamano yao 🤣Hizo zilikuwa propaganda za wanamtandao kufubaza maandamano
Ukweli yupo tu Wala hakuna lolote
sasa mlikua wap jana msitokeSamia hawez kuachia madaraka kwa maandamano ya aman