figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue.
Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.