"... aliyesima hapa ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye maumbile yake ni mwanamke"; Samia S. Hassan.
soon therefater ...
"... anayejihisi mwanamke ni wewe! Na ajenda ya kusema mimi mwanamke, mimi mwanamke achana nayo; nani hajui?"; Job Y. Ndugai.
Kisa na mkasa vilianzia hapo!