Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Mwalimu again....
Ndiyo maana nimekupa angalizo mapema, siyo kila anayechangia uzi huu ni mwalimu.

Kwa kauli hii bado hapa ndipo unadhihirisha kuwa wewe siyo mjinga tu bali ni zaidi maana nilijua ungekuja na hoja ya kuwapa elimu hao unaowakejeli kumbe wewe ndiye "punga" kabisa.


Ok assume mimi ni mwalimu leta udhaifu wa hoja yangu au maelezo kinzani juu ya maelezo niliyokupa vinginevyo wewe utaendelea kuwa kituko.
 
Kwanza hilo wazo la 23.3 liondoe. Pili kama unaona mshahara mdogo si uache kazi? Lini mliwahi kuwa na morali?
 
Mtoa mada ni mfuasi wa mwendazake..hapa yuko kwenye ramli. Atafurahi ikiwa ongezeko litakuwa dogo. Atachukia ikiwa ongezeko litakuwa kubwa.
Ndio maana nasema nyie walimu kichwani ni watupu Sana
Mimi ndio niliopanga ongezeko? Alafu napigaje ramli ikiwa uhalisia unaonekana?
Ndio maana nimegundua kwa nn sasa hivi mtu akipata pesa kidogo tu anapeleka Watoto wake shule za English medium. Huko Kuna walimu wanaojielewa
 
Ndio maana nikasema mna upeo mdogo, Mimi nimezungumzia mchango kwa maana ya mawazo kuhusu mambo mbalimbali. Wewe unaleta habari za pesa
 
Kuna mmoja nimekueleza huko, huwa sifanyi mjadala na nyie
 
Wewe ndo msemaji wa serikali au unawashwa washwa tu kwakujifanya unajua na kudharau walimu.
 
Wewe ulisomea kwenye hizo English medium schools? Ndio zinafundisha ujinga wa kubeza professions za watu?
 
Sasa na nyie mmekaa mnajibizana na mtu mjinga mjinga si mnamuacha na ujinga wake?
 
Nimekuelewa comrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…