Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
Kwa mwaka au Kwa mwezi
 
Unahisi kwa nn Majaliwa aliacha ualimu?
 
Ndio maana mnadharaulika, bado kusoma na kuelewa hamjui. Mna shida gani nyie watu?
 
Walimu mna shida gani? Unajua nashindwa kuelewa hadi Sasa, ukiwa Mwalimu lazima uwe juha?
Kwanza ilikuaje ukawa Mwalimu?
Siyo juu Yako kujua mwalimu anapatikanaje!

Nawachukia watu wa aina Yako wanaobeza walimu ilihali walimu hao walikufundisha kujisafisha na kuongea Kwa kueleweka!
 
Mbona mna waonea walimu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwa mwezi,chukua trion 1 na bilion Mia 590 gawanya kwa 12 utapata bilion 132 na million kadhaa gawanya tena kwa laki sita utapata laki mbili na point
Natunza hii comment tuone Kama yaliyomo yamo. Hkna asiyependa Kitu kizuri. Tusubir
 
Siyo juu Yako kujua mwalimu anapatikanaje!
Nawachukia watu wa aina Yako wanaobeza walimu ilihali walimu hao walikufundisha kujisafisha na kuongea Kwa kueleweka!
Ikiwa unayajua hayo kwa nini mmeamua kuwa wajinga?
 
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
Basi post hapa hiyo salary slip tuone kwani shida ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…