Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

watumishi wasiwe na wasiwasi hela ipo nyingi watapata, trion 1 na bilion mia tano tisini ukigawa kwa idadi ya watumishi wa umma laki sita unapata kwa wastani Kila mtumishi anapata ongezeko la laki mbili
Kwa mwaka au Kwa mwezi
 
Halafu kuwa mwalimu sio big deal wala sio laana. Watu wengi ni walimu na wanaendesha maisha yao vizuri pengine kukuzidi wewe uliyepungukiwa na akili. Waziri wako mkuu walimtoa kwenye vikorido vya hapo tamisemi akiwa kama nani? Samia mwenyewe unaye muinamishia kichwa na kuacha makalio nyuma mmoja wa wazazi wake alikuwa mwalimu.
WALIMU CHAPENI KAZI ACHANENI NA PSYCHOPATHS KAMA HAWA
Unahisi kwa nn Majaliwa aliacha ualimu?
 
Unaposema shida ni walimu kuwa na uelewa mdogo wewe ulifundishwa na Nani ili uwe na uelewa mkubwa? Hivi kauli " serikali imeridhia ongezeko la mishahara kuwa 23.3% kwa watumishi ikiwemo kima Cha chini kunahitaji PHD kujua maana yake? Acha dharau ndg, kuwa mwalimu usidhani ndo watu hawana uelewa wa mambo ndo maana Mwl aliitoa nchi hii chini ya ukoloni, ni kada ipi nyingine ilidhubutu kuzungumzia uhuru wa nchi tofauti na kulamba miguu ya wazungu?
Ndio maana mnadharaulika, bado kusoma na kuelewa hamjui. Mna shida gani nyie watu?
 
Walimu mna shida gani? Unajua nashindwa kuelewa hadi Sasa, ukiwa Mwalimu lazima uwe juha?
Kwanza ilikuaje ukawa Mwalimu?
Siyo juu Yako kujua mwalimu anapatikanaje!

Nawachukia watu wa aina Yako wanaobeza walimu ilihali walimu hao walikufundisha kujisafisha na kuongea Kwa kueleweka!
 
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.

Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.

Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?

Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?

Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Mbona mna waonea walimu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwa mwezi,chukua trion 1 na bilion Mia 590 gawanya kwa 12 utapata bilion 132 na million kadhaa gawanya tena kwa laki sita utapata laki mbili na point
Natunza hii comment tuone Kama yaliyomo yamo. Hkna asiyependa Kitu kizuri. Tusubir
 
Siyo juu Yako kujua mwalimu anapatikanaje!
Nawachukia watu wa aina Yako wanaobeza walimu ilihali walimu hao walikufundisha kujisafisha na kuongea Kwa kueleweka!
Ikiwa unayajua hayo kwa nini mmeamua kuwa wajinga?
 
Salary slip zipo tayari, au unataka kusema mshahara wa kwenye salary slip ni tofauti na utakaoingia bank? Mshahara unakua posted mapema kwenye mfumo, then pesa iniangia bank baadae
Basi post hapa hiyo salary slip tuone kwani shida ni nini?
 
Back
Top Bottom