Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

Mimi ndio Countrywide, ni Kama Msumari wa moto, kadri unavyoukalia ndio utavyokua unaumia. Hij JF mmeifanya kuwa kama darasa, kila mara mnakuja na mambo ya ajabuajabu tu ni.lazima tuwachane na kuwaweka sawa mpaka mbadilike

Alafu umesema hakuna pimbi wa kupambana na ww humu! So,huko ndio kuchana ukweli? Huna uwezo wa kiakili wa kumchana zaidi ya kujitapa na kutukana
 
Alafu umesema hakuna pimbi wa kupambana na ww humu! So,huko ndio kuchana ukweli? Huna uwezo wa kiakili wa kumchana zaidi ya kujitapa na kutukana
Nina akili nyingi sana. Niliyokueleza ni kweli mtupu na unajua. Kila walimu mkitokeza kichwa nitakua nachapa
 
Washukuru kwani ni hisani?
 
Mtoa post naomba nikukumbushe kuwa wote ile barua tuliiona pengine yatakayotokea ni ujanja ujanja tu na kuwapuuza watumishi wa umma wa nchi hii. Barua ilisema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini. Barua haikusema ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini.
 
Uzuri nimesema hapo juu, akili hamna. Hata sijui mliajiriwa vipi
 
Reactions: F4B
Sensa itawaua wachumia tumbo kama nyie mnajipendekeza. Unajisikiaje kumsemea Raisi?

Njaa mbaya sana
 
Kujificha kwa lipi? Kutoa taarifa tu ya kitu flani ukahisi na mtoa taarifa ni mwalimu? Unajidanganya mkuu. Huu uzi wako ni wakinafiki sana
Unaona Sasa? Hapo nimekuwekea Uzi wako unaonyesha wewe ni Mwalimu alafu bado huelewi chochote. Mlisoma nini huko vyuoni kwenye kozi za ualimu? Mnafundishwa kuwa wajinga?
 
Unaona Sasa? Hapo nimekuwekea Uzi wako unaonyesha wewe ni Mwalimu alafu bado huelewi chochote. Mlisoma nini huko vyuoni kwenye kozi za ualimu? Mnafundishwa kuwa wajinga?
Sina elimu ya kuungaunga kama yako Mkuu. Unamuwekea nani uzi humu ndani kama hutaki kukosolewa? Ni bora ungemuwekea mkeo au mmeo kama huitaji kukosolewa.

Mada yenyewe nyepesi sana na ingependeza kama ungeweka mstari wa barua wenye tafsiri pana kwa ulichokiandika.
 
Kuna watu kazi yao ni kupinga tu, hata wafanyiwe nini. Raisi Samia Suluhu ni muungwana sana ila kuna watu wanajitoa akili na kutafuta sehemu ndogo yakutupia lawama
 
Hili sasa ni janga, sijui serikali ichukue hatua. Kwani kabisa kabisa hamna mwenye akili?
 
Kuna watu kazi yao ni kupinga tu, hata wafanyiwe nini. Raisi Samia Suluhu ni muungwana sana ila kuna watu wanajitoa akili na kutafuta sehemu ndogo yakutupia lawama
Kwa hiyo umejiunga jana JF?
 
Hili sasa ni janga, sijui serikali ichukue hatua. Kwani kabisa kabisa hamna mwenye akili?
Uzi wako unaona umeandikwa na mwenye akili? Nimekwambia lete mstari hata mmoja kutoka katika barua inayomnukuu Mama Samia ili tukuelewe kwa ulichokiandika .

Unakimbia kimbia tu unafikiri wote tunauelewa sawa ??
 
Labda wewe ndio unalaumu
 
Tunawaita "Academicians" kwenye shule ambayo Watoto wangu wanasoma. Sijui wewe utaamua kuwaitaje.

Walimu ni hao wa kundi la pili, Ila nao ukiamua kuwaita Academicians ni sawa tu japo nafsi yako itakusuta.
Nikuulize, wewe ulisomeshwa na walimu wa kundi lipi kati ya hao uliowacategorise? Kama ni WA kundi la pili basi nawe utakuwa uliambukizwa na kujazwq ujinga wao. Learn to appreciate their efforts acha makasiriko!
 
Unamaanisha watu wa kima cha chini Kuna mahala wananunua mahitaji tofauti na watu wengine?
Kipato chao ndiyo tofauti na wengine. Kima cha chini ni kiswahili kigumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…