Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #161
Ila walimu mna shida kubwa sana kwenye ubongoNimelazimika kuleta barua husika hapa jukwaani ili mtoa post atuambie wapi barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa kima Cha chini tu. Barua inasema Rais ameridhia nyongeza ya mshahara kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.
Nimeona nilete humu jukwaani barua husika ili wanajukwaa msome wenyewe na kujionea wenyewe kama ile barua ilisema nyongeza ya 23.3% ni kwa ajili ya watu wa kima Cha chini tu. Maana mleta post anapotosha sijui kwa masrahi ya nani?.Barua hiyo hapo chini inasema Rais ameridhia nyongeza kwa 23.3% ikiwemo kima Cha chini.
😆😆Mpaka nithibitishe pasina shaka yoyote
Kwa hiyo unamaanisha wafanyakazi wamepigwa na kitu kizito, yaani waliuziwa mbuzi kwenye junia?🙄🤔Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja
Roho mbaya sana zimewajaa.Na mishahara ikitoka msiukimbie huu uzi.Hakuna waliposema salary zimeongezwa kwa 23.3% bali kima cha chini na ambacho ndio basic ya calculation ya salary..
Na tayari wachambuzi wameshasema ongezeko halizidi 50,000.
Walimu sijui mna tatizo ganiRoho mbaya sana zimewajaa.Na mishahara ikitoka msiukimbie huu uzi.
Wewe pia ulifundishwa na walimu,au mama zako?Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Acha kutukn walimu mbwa wwWalimu sijui mna tatizo gani
Very sad
1. Mtoa mada, uwaombe radhi walimu kwa kuwashambulia bila kuweka bayana uthibitisho wa kada hiyo ilivyolaumu.Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Eeeegh jamii forums ni ya babako eeehHakuna wa kupambana na mimi humu
1. Mtoa mada, uwaombe radhi walimu kwa kuwashambulia bila kuweka bayana uthibitisho wa kada hiyo ilivyolaumu.
2. wewe mwenyewe ktk mada hii umedhihirisha kuwa haujui lolote juu ya Namna nyongeza za mishaha zinavyokokotolewa, vinginevyo basi ungeweza kuwaelimisha hao unaowalaumu zaidi tu umewashambulia kwa maneno ya ujinga wako.
3. Labda tu ufahamu kuwa hata hawa wanaojadili humu wengi si walimu hivyo punguza mtazamo hasi juu ya walimu huku ukikumbuka kuwa hata huu ujinga unaowarushia pengine unatumia vibaya maarifa yao waliyokupatia.
4. Nikufahamishe kuwa walimu wanajua vema namna mishahara inavyoongezwa na walilielewa vema tangazo la Rais.
Kwa ufupi tu ni kwamba wanaposema nyongeza ni 23.3% kwa kima cha chini ni kwamba atakayeongezewa hizo asilimia kama zilivyo ni mtumishi wa Daraja la kima cha chini, madaraja mengine yatakuwa yanapata nyongeza pungufu kutokana na kanuni yahesabu itakavyokuwa imepigwa (hii nayo utapewa elimu ukiihitaji). Hufanyika hivi ili kuweza kuwa na nyongeza inayokaribiana kwa madaraja yote maana wakifanya sawia walio na daraja la juu Sana watapanua wigo wa tofauti kubwa ya mshahara.
"...ameridhia ongezeko la mshahara, ikiwemo kima cha chini..."Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Fanya kidogo, sijaelewa.kuna watu wameongezewa 250k.
kama kuja watu atawaongezea 50k na kishahata yao duni basi ni tapeli.
Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo.
Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane ni kwa watu wote.
Ni kama kuna watu walijiandaa kutoa lawama kwa Rais wetu ikiwa taarifa ilisema wazi kabisa kuwa ni kima cha chini. Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
Watumishi wengi ni walimu, zaidi ya nusu(300000+) na hawa ndio waliokuwa mstari wa mbele kupotosha ongezeko ili mwisho wa siku ionekane serikali iliongopa. Shida ni nini kwenye hii kada ya ualimu? Ufahamu mdogo?
Narudia tena acheni lawama kwa Rais mara moja, na pia mshukuru hata kwa hiko kidogo mlichopata.
Pay roll ishaonekana, matarajio yalikua makubwa kuliko kilichoongezwaaSubirini mishahara bado haijatoka
Imeonekana kwenye salary portal?Pay roll ishaonekana, matarajio yalikua makubwa kuliko kilichoongezwaa
Acha kejeli kijana watu wanafanya kazi kwa uvumilivu wa dhiki sio uzalendoBila shaka wewe ni Mwalimu, huo mshahara unaopewa unakutosha. Mwalimu hana kazi ya kufanya ya kulipwa mshahara mkubwa. Ukiona mshahara kidogo, acha kazi, hujalazimishwa
Salary slip portal for salary slipsImeonekana kwenye salary portal?