Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Good job mama Samia, kazi unayoifanya inaonekana. Angalau tunaenda mbele kuliko tulipotoka.
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Acheni masifu yasiyokuwa na tija hawa jamaa na corona hii wana uhitaji wa vitu vingi sana uko.
Principally walivyotupiga pin kwenye parachichi ilibidi nasi iyo pin ingehamia kwenye apples na bidhaa zingine maana ile ilikuwa zengwe tuu.
 
Ni hatua njema nchi itaanza kupata fedha za kigeni..Pongezi kwa Rais, Mama Samia. Tuangalie soko la Congo hasa kipindi hiki imejiunga na EAC.
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Awesome
 
Nzuri kabisa hii Mhe Rais,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…