Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Wanadai zuio la parachichi kwenye soko la uswazi limedumu miaka 10 wakati Magufuli aliingia madarakani 2015. Mbona namba zinakinzana. Yawezekana Magufuli alikuwa na upungufu wake kama kiongozi lakini sio uungwana kumsingizia kila lililokwenda kombo hata kabla ya kuingia madarakani.
 
Ukweli ni kwamba soko la avocado duniani ni kubwa mno hajui tu. Mimi niliagizwa na mfanya biashara mmoja wa Dubai mwaka jana alikuwa anahitaji tani 300 acheni kumpa mtu misifa ya uongo
Ni masifu kwenda mbele.
 
Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Africa ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima (miaka kumi) sasa bila muafaka wowote...
HOngera kwake.

Pia ame secure masoko kutoka China ma India 👇

3016496_BA2BC087-B043-497B-92C5-82D5C04D74BD.jpeg
 
Embu mama atusaidie ktk vifaa vya ujenzi vimepanda Sana Bei na vina zidi kupanda bei
 
Inaweza kuwa Sawa ila taarifa imekaa kichawachawa!!
 
Kuna ngumbaru watakuja kukwambia hakuna kitu mwanamke anachoweza kufanya, kwao urais una kibali kwa wanaume tu!.

Haraka sana watakimbilia kutoa mifano ya USA, wakisahau kuwa watendaji wakuu wa serikali za Ujerumani na New Zealand ni wanawake tena walioacha legacy ya kudumu.
 
Tanzania nchi ngumu sana Mjomba
 
Back
Top Bottom