Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

Wewe unataka watu watukane mitusi na jumatatu hii.

Mtupumzishe buana. Njooni mchukua hadi TOZO za Vitanda.
 
Chawa amesahau ku sponsor tangazo lake ili lipate airtime ya teuzi zijazo.
 
Wenzako huandika namba za simu na eneo unalopatikana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
uungwaji mkono kwa wafuas wa walamba asali wa lumumba ndo azoe kura labda za kutengeneza kwenye hayo makorido yenu ya lumumba.
Kura nyingi Sana zimeshatengenezwa mpaka Sasa maana mh Rais wetu mpendwa Amegusa kila eneo kuliko na watanzania na kila mtu ameridhika na utendaji kazi wake, kundi kubwa la watanzania wamejiajiri kwenye kilimo mahali ambako mh Rais amefanya Mambo makubwa sana, ambapo wakulima wamebaki kutamani uchaguzi uwe hata kesho ili kuweza kumpigia kura nyingi sanaaa ili aendelee kututumikia, Naamini hata mh Mbowe au mch Peter msigwa watampigia kura mh Rais Samia maana wanamkubali utendaji kazi wa mh Rais
 
Usiseme Watanzania bali sema wewe mwenyewe umeridhidhwa na utendaji kazi wa samia.. kwanini unatumia lugha jumuishi kwani upo kwenye mioyo ya watanzania wote?

Je huoni malalamiko ya watanzania hao hao mitandaoni kuhusu tozo na mambo mengine?
 
Njoo mtaani ufanye utafiti ndo urudi kutoa post
 
Mawindo ya uteuzi,
pole kizazi cha chawa,!!
 
Usiseme Watanzania bali sema wewe mwenyewe umeridhidhwa na utendaji kazi wa samia.. kwanini unatumia lugha jumuishi kwani upo kwenye mioyo ya watanzania wote?

Je huoni malalamiko ya watanzania hao hao mitandaoni kuhusu tozo na mambo mengine?
Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watu
 
Watanzania wa wapi hao unaowaongelea??
 
Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watu
Hebu warekodi wakiyasema hayo mazuri na kukubali kwao kuhusu tozo.
 
Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watu
Mkuu unaangalia mitaa gani kwanza ambayo wanafurahi tozo zote na kulipa bila kinyongo?
Humu JF kuna nyuzi za kuacha kutumia miamala ya kibenki, simu n.k sasa huoni kama watu wanaumia na hayo matozo ya ajabu ajabu,,

Mkuu anzisha uzi wa kupiga kura kati ya wanaokubali tozo na wanaopinga tuone hao watanzania unaosema wamekubali tozo.
 
Akili za kipunguani kabisa.
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…