Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Unataka kuniambia hapo unapoishi hujafikiwa na maendeleo yaliyofanywa na mh Rais,Ni jinga kuendelea kusoma hii thread yako mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuniambia hapo unapoishi hujafikiwa na maendeleo yaliyofanywa na mh Rais,Ni jinga kuendelea kusoma hii thread yako mkuu!
Unatenda dhambi kubwa sana kwa kuwasemea uongo Watanzania.N
Ni maneno ya uhalisia juu ya maamuzi ya watanzania katika kuamua kumuunga mkono mh Rais
Mimi Ni mkulima na wote tuna mtizamo huo wa shukurani kwa mh Rais wetu kwa namna alivyotugusa kwa suala la pembejeo kwa msimu ujaoUnatenda dhambi kubwa sana kwa kuwasemea uongo Watanzania.
Wewe unataka watu watukane mitusi na jumatatu hii.Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Tatizo la watanzania linaanzia hapa. WOGA uliopitiliza and watawala are banking on thatAnawatega huyu jamaa.. yuko kazin anakusanya maoni.. shaur yenu . Nyie lopokeni
Wenzako huandika namba za simu na eneo unalopatikana.Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Kura nyingi Sana zimeshatengenezwa mpaka Sasa maana mh Rais wetu mpendwa Amegusa kila eneo kuliko na watanzania na kila mtu ameridhika na utendaji kazi wake, kundi kubwa la watanzania wamejiajiri kwenye kilimo mahali ambako mh Rais amefanya Mambo makubwa sana, ambapo wakulima wamebaki kutamani uchaguzi uwe hata kesho ili kuweza kumpigia kura nyingi sanaaa ili aendelee kututumikia, Naamini hata mh Mbowe au mch Peter msigwa watampigia kura mh Rais Samia maana wanamkubali utendaji kazi wa mh Raisuungwaji mkono kwa wafuas wa walamba asali wa lumumba ndo azoe kura labda za kutengeneza kwenye hayo makorido yenu ya lumumba.
Njoo mtaani ufanye utafiti ndo urudi kutoa postNdugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Mawindo ya uteuzi,Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watuUsiseme Watanzania bali sema wewe mwenyewe umeridhidhwa na utendaji kazi wa samia.. kwanini unatumia lugha jumuishi kwani upo kwenye mioyo ya watanzania wote?
Je huoni malalamiko ya watanzania hao hao mitandaoni kuhusu tozo na mambo mengine?
Kazi ya mh Rais Ni yakutukuka ambapo hata nisiposema Mimi bado kazi zake zitazungumza zenyeweMawindo ya uteuzi,
pole kizazi cha chawa,!!
Njoo mtaani ufanye utafiti ndo urudi kutoa post
Hebu warekodi wakiyasema hayo mazuri na kukubali kwao kuhusu tozo.Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watu
Mkuu unaangalia mitaa gani kwanza ambayo wanafurahi tozo zote na kulipa bila kinyongo?Naiangalia huku mitaani namna mh Rais wetu anavyokubalika na kusemwa mazuri, tozi na Kodi watanzania wanaendelea kulipa bil kinyongo maana wameona namna mh Rais anavyosimamia utekelezaji wa miradi inayogusa maisha ya watu
Akili za kipunguani kabisa.Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.
Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo Bora, Hii ndio maana watanzania kwa pamoja wameamua kumuunga mkono mh Rais kwa kuchangia kiasi kutoka katika vipato vyao bila shida yoyote.
Watanzania wametambua kuwa nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, na kwamba hata hao walio endelea na kutupatia misaada walianza kwa kuchangishana kupitia vipato vyao, hata hivyo watanzania kwa Sasa wametambua kuwa hatutaweza Kuendelea kwa haraka kupitia misaada na mikopo pekee, ili Tuendelee lazima tubebe mzigo wetu wenyewe na hiyo misaada na mikopo iwe ziada katika juhudi zetu na jukumu la msingi likibaki mikononi mwetu.
Watanzania wametambua kuwa Ni lazima tujinyime, tujibane, Tuwe na vipaombele, tuwa wazalendo, Tuwe na Nidhamu kwa kila sent tuipatayo ili tupeleke katika kuijenga nchi yetu, watanzania wamekuwa na Imani kubwa na mh Rais katika usimamaizi wa fedha za umma.
Sasa watanzania wapo bize katika kuijenga nchi yetu, hawataki kumsikiliza mtu anayewashauri kwamba wasiijenge nchi yao, kwa kuwa kwa Sasa wanaona namna miradi mbalimbali ya maendeleo ilivyojengwa na kusogezwa huduma karibu yao, hawataki mizigo ya madeni hata kwa vitu tunavyoweza kufanya wenyewe, hawataki tuwajazie madeni vizazi vijavyo kwa kukwepa wajibu wetu, wanataka wajibu wetu na mzigo wetu tuubebe Wenyewe.
Mh Rais ameongoza njia ya maendeleo na watanzania wameamua kumfuata na kumuunga mkono na hili hata utafiti wa Twaweza umelithibitisha, Tuendelee kuijenga nchi yetu kwa kila namna bila kumsubili mtu, tujivunie maendeleo yanayotokana na juhudi zetu wenyewe.
RubbishNdugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe.