Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

Kila siku tuwe tunafanya kazi ya kukukumbusha kuweka number ya simu na cv siuungwana.
 
Waziri, unatetea Sana mpaka unajitoa ufahamu, Sasa nakwambia KWa utetezi wako humsaidii Rais wako bali unampoteza, acha Mambo haya, nyie anaekaa pale juu basi anakula MUNGU mtu? Tuliwaona wengi kipindi kilichopita, leo wamebaki Kama kuku wa kienyeji, acheni Mambo haya, Rais wajibu wake ni kutekeleza mahitaji ya walipa kodi, na sio ombi maana hatoi pesa yake mfukoni,
Sasa Kama ndivyo why mapambio yote, eti unasikia mtu mzima anasimama mbele ya kandamnasi kwamba SSH Katoa pesa ya barabara,au kisima au madarasa n.k Hivi nyie CCM mmerogwa na nani, Yani kodi za wananchi ndo mnasema SSH ametoa kweli?
Acheni jipendekeza, pigeni KWa urefu wa kamba zenu ,ila elewa nikiingia Madarakani nitawanyonga mchana kweupe, maana KWa Sasa hamuibi bali mnakwapua,dawa yenu ipo jikoni
 

Aungwe mkono na nani huyu asiyezisikia kero za wananchi wake?

Waliojinadi kuwa Serikali Sikivu wamethibika kuwa Viziwi
 
Wekeni Sasa ,leta na Katiba mpya kuruhusu Mgombea binfsi,alafu tuingie mtanange, saa sita mchana kwisha, mnakaa na kumpaka mafuta KWa mgongo wa chupa,WENDA sie ndo tunampenda kuliko team mapambio, huku chini hawamwelewi, sawa Mkuu Waziri
Hapa anatoka nduki mtoa hoja! Hii mijambazi imezoea kukwapua kura hii psychological prep yanatufanyia! Hivi utamleta huyu tabula rasa wa mambo yote ya kiuchumi na kisheria mbele ya yule Tiger TAL abaki kweli kwenye uwanja sawa!? Hizi kunguni, chawa na kupe zinahangaika tu!
 
Anasimamia vizuri wizi wa kodi zetu! Ndiyo maana waziri wake wa fedha wa juzi tu ameagiza YU TONG 60 kwa mpigo. Pigeni kampeni ili Mwigu anunue jet kwa hela zetu ahsanteni vilaza wakubwa kama mama yenu/
 
Hakuna mwenye ubavu wa kushindana na mh Rais katika boksi la kura, Ndio maana unaona kwa Sasa upinzani umekosa hoja kwa kuwa ajenda zote za wananchi amezibeba mh Rais na kuzifanyia kazi
 
Nani kakwambia kuwa Mimi ni Waziri wewe, Mimi Ni mkulima ninayemuunga mkono mh Rais kwa kazi kubwa anazo fanya zilizogusa na kukonga nyoyo za watanzania
 
Anasimamia vizuri wizi wa kodi zetu! Ndiyo maana waziri wake wa fedha wa juzi tu ameagiza YU TONG 60 kwa mpigo. Pigeni kampeni ili Mwigu anunue jet kwa hela zetu ahsanteni vilaza wakubwa kama mama yenu/
Acha kubeba maneno ya watu pasipo ushahidi
 
Aungwe mkono na nani huyu asiyezisikia kero za wananchi wake?

Waliojinadi kuwa Serikali Sikivu wamethibika kuwa Viziwi
Kero za wananchi zinaendelea kupatiwa majibu kila kukicha na mh Rais, Rais alisikia kilio Cha wakulima juu ya Bei kubwa amejibu kwa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini na kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea, ukienda hospital au shuleni au kwenye huduma za maji na umeme unakuta kwote huko mh Rais amefanya kazi kubwa sana
 
Huku sio kujenga nchi ni kuporwa waziwazi kabisa
 

Wewe huzijui kero alizozifumbia macho na masikio zinazotuelekeza Tahrir kwenye ufumbuzi wake kamili: atake, asitake?

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
 
Mkuu hivi umeandika huu uzi ukiwa usingizini, maana mpira unachezwa kushoto wrwr umedaka kulia
 
Mada za kumpamba mama "yao" zimekuwa nyingi sana ..... Knacho nakisi hapa ni UOGA WA HALI YA JUU WA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI ...Ina tumia Hawa machawa/kupe kupima upepo.
 
Kwani huoni namna mh Rais alivyoibadilisha Tanzania kwa kuifanya kuwa na maendeleo karibu ya mwananchi, huoni namna ambavyo mwananchi amepunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma
Kama huduma zipi mkuu.
 
Kwa uungwaji mkono alionao mh Rais na namna anavyokubalika nakuhakikishia kuwa mh Rais anakwenda kuzoa kura Zote uchaguzi ujao, maana amebeba na anatekeleza Sera na ajenda zinazogusa maisha ya mtanzania mnyonge
Ningejua ulipo mkuu ningekupiga risasi nipunguze kura moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…