Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

Hizi nafasi (wakuu wa wilaya, wakurugenzi, Makatibu wilaya) wazitoe chini ya mamlaka ya Rais (zisiwe sehemu za teuzi za Raisi).
MaRAS, maDAS, maDED kimsingi si nafasi za kisiasa, hawa ni watumishi wa umma siyo wanasiasa. Ni bahati mbaya huu utaratibu ulikuja kukolezwa na Mwendazake na sasa imekuwa kama nafasi za makada wa CCM.
 
Hiyo panga pangua ingepita pia Kwa wakuu wa idara mbali mbali kwani katika halmashauri wanajifanya miungu watu kwasababu wengine wamekaa kituo kimoja mda mrefu sana.Mfano maafsa ardhi wengi wao wamekuwa chanzo Cha migogoro ya ardhi kwani wanajimilikisha ardhi kwa njia haramu na kupiga dili badala ya
 
Hizi nafasi (wakuu wa wilaya, wakurugenzi, Makatibu wilaya) wazitoe chini ya mamlaka ya Rais (zisiwe sehemu za teuzi za Raisi).
hapana zibaki huko maana ukitoa kuna baadhi ya maraisi watapyaya kwenye nafasi iyo maana ndo kitu wanaweza fanya tukaona wako kazini
 
Hiki ndio anachoweza KIZIMKAZI kuteua na kutengua tu.Yuko tayri hii iwe kazi yake ya kila cku.Hakika anafurahia mnoo. Mambo magumu YY hataki watanganyika tujipange haswa.
 
MaRAS, maDAS, maDED kimsingi si nafasi za kisiasa, hawa ni watumishi wa umma siyo wanasiasa. Ni bahati mbaya huu utaratibu ulikuja kukolezwa na Mwendazake na sasa imekuwa kama nafasi za makada wa CCM.
Unafikiri kwa leo kuna mtu atakuelewa? Siku hiyo uelewa ukirudi, utawala wa nchi hii itabidi uanze upya.
 
Huyu Yefred Myenzi ni kichwa yaani kinachaji 24 hrs mara nyingi yuko na ideas zenye kujenga alafu ni mzungu hana mambo ya kujikweza.Naamini amepelekwa geita kwa manufaa,kila la kheri kwenye kituo kipya cha kazi.

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kodi zetu pia zinatumika kuwahamisha hawa watu huku wakiacha maumivu kule wametoka.

Serikali ya CCM ijitahidi kutuonea huruma wananchi wake.
 
MaRAS, maDAS, maDED kimsingi si nafasi za kisiasa, hawa ni watumishi wa umma siyo wanasiasa. Ni bahati mbaya huu utaratibu ulikuja kukolezwa na Mwendazake na sasa imekuwa kama nafasi za makada wa CCM.
Una maana wakati wa WM na JK walikuwa watumishi wa umma ki utendaji? Think twice bro.
 
Zahara karibu mwanga tambarare ulete maji,maji ni shida miaka 60 ya uhuru
Wilaya ya Mwanga ni kama imelaaniwa

Hakuna Maji na ni kukame mno

Hakuna stendi, yaani pako hovyo tu
 
Back
Top Bottom