Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

Hata Gerson ni mmoja wa wanufaika na utawala wa Magu, hakuna namna atamsahau Magu.
Kinachosikitisha ni kuendekeza tabia ya kuabudu watu na siyo Mungu.
Mandera ndani ya miaka mitano aliyotawala Afrika ya kusini, aliitumia fursa hiyo kujenga taasisi imara na katiba nzuri. Leo hayupo tunashuhudia nchi inakwenda kwa kufuata sheria haiangalii wewe ni nani au mtoto wa nani. Ukiboronga na urais wako wanakung'oa na unaweza hata kufungwa kitu ambacho huku ni ndoto.
Uharibifu wowote tunaoshuhudia Sasa humtoi Magu, maana hawa wote waliopo ni chaguo lake,kuanziq bungeni mpaka serikalini.
Ukipanda bangi usitarajie kuvuna Mahindi. Kifupi yeye ni sehemu ya madhira tunayopitia, alipaswa kutengeneza mfumo imara utakaolinda raslimali zetu bila kujali atakuwepo ama hatakuwepo. Tatizo ni kujifanya mungu kumbe siku zako zinahesabika.

Hata wewe nyumbu ni mnufaika wa utawala wa Magufuli kupitia SGR, ndege, bwawa la umeme.

Ila kwa kuwa uelewa wa nyumbu ni mdogo sana huwezi kuelewa kitu
 
Hili bunge la chama kimoja ndio utaratibu??? Wabunge wasio na vyama wanaotafuna tu kodi zetu ndio kafata sheria?

Watumishi hatutamsahau hadi na sie tukizikwa miaka 6 bila bila.... Kweli alijua kufata sheria na taratibu.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Back
Top Bottom