Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

Hata nyumbu wanamkumbuka sana tu shujaa maana kama ni bandari imeuzwa ya wote, bei ya korosho imeshuka kwa wote
ukiwa na akili zako tmamu huwezi kukumbuka muaji na mtekaji
 

Hata wewe nyumbu ni mnufaika wa utawala wa Magufuli kupitia SGR, ndege, bwawa la umeme.

Ila kwa kuwa uelewa wa nyumbu ni mdogo sana huwezi kuelewa kitu
 
Hili bunge la chama kimoja ndio utaratibu??? Wabunge wasio na vyama wanaotafuna tu kodi zetu ndio kafata sheria?

Watumishi hatutamsahau hadi na sie tukizikwa miaka 6 bila bila.... Kweli alijua kufata sheria na taratibu.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…