Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Urais ni kazi ngumu! Ikulu ni Mzigo! Alisema Hayati Baba wa Taifa.
 
Mimi nimeshangaa sana, polepole alimpa ushauri mzuri mnoo wa kustaafu kwa heshima, na sasa hiyo nafasi haipo tena maana akitoka kwenye mfumo iwe kwa kifo au kwa kulazimishwa…uzao wake hauna future yoyote Tanganyika, heshima yote ambayo angeipata kma angestaafu kwa kufuata ushauri wa polepole haipo tena.
 
Damu za maelfu ya vijana aliowaua mercilessly hivyo she is haunted by nightmares and so experiencing lingering sense of dread which drives her to the feeling of impending doom.
Hapo lazima mwili unyong'onyee tu.
 
Mawazo mawazo lady jideeee eheee ,hata mimi nataka nunua freelander ,reneee naye kuishi na mzungu ,amina kujenga nyumba ya kifahari.
 
She is not okay.Mungu amsaidie anapaswa aombe msamaha kwa watu waliopoteza ndugu zao oktoba 29,aachie watu waliotekwa,amuachie Tundu Lissu,afanye marekebesho ya katiba na atafute suluhu na wapinzani.Huu muda uliopo ni Mungu ammempa wa marekebisho asiporekebisha kitamkuta kitu kibaya.Kwa kawaida ukitenda kosa na hakuna kilichokukuta unaweza kuona kwamba Mungu haoni kumbe kadri siku zinavyoenda unazidi kumkasirisha Mwenyezi Mungu……..

Hata Daudi alipomchukua mke wa Uria hakuna lilipompata Uria alizikwa maisha yaliendelea mke wa Uria alipata hadi mimba.Ila baadae sana nabii alitumwa kwake kutubu kwake ndipo kulipomuokoa

Nachelea kusema simchukii huyu mama ila asipotubu ataishia pabaya maana watu wanomlilia Mungu usiku na mchana juu ya ndugu zao ni wengi bado ana muda wa kurekebisha palipokosewa
 
Anazeeka kwa speed sana.

Naona shingoni mikunjo ni mikubwa sana na haijifichi tena.

Hata kiganja cha mkono kimesinyaa.

Hii hali ya uzeekaji wa ghafla na wa speed niliishuhudia kwa Kikwete pia wakati wa uapisho wa Samia kule jeshini Dodoma.
Kikwete ana umri wa miaka 76, Samia 65
 
Maza yupo kwenye mpango wa kupungua tangu 2022
 
Anao wanasheria wa kiwango cha juu sana. Best advisors money can buy.

AG wa sasa aliapishwa mwaka 2024 lakini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana akamrudisha tena kwenye cheo hicho nyeti.
 
wallah lile kumbato lilinitoa chozi 😢
 
Samia zaid ya sharubati na soda hanywi pombe.... mbona mnamchafua madame president!!! Mnatumwa na mabeberu au
Awali alikuwa anapiga mvinyo kidogo wakati wa kula tu lakini sasa anapiga zile ngumu kabisa maana bila hivyo hapati usingizi akifumba macho anapata jinamizi anapiga kelele huku akimtaja Marehemu Mzee Ali Kibao na Mdude Nyagali. Siku nyingine hata hizo hazisaidii inabidi apige skanka.
 
Unafikiri ata ule ujasiri wa kusema " Who Are You" ni akili ya kawaida...ile ilikuwa Konyagi Bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…