Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Duh ila mkuu 😂
 
Duuuuh!! Polee yake sanaa.
Hope atakua sawa tyuu.
 
Maza yupo kwenye mpango wa kupungua tangu 2022
Siku 90 za kampeni zimemnyonyoa na Leo walikuwa wamejazana kwenye ka chumba tegemea baadhi kuondoka kwa changamoto za upumuaji
 
Anazeeka kwa speed sana.

Naona shingoni mikunjo ni mikubwa sana na haijifichi tena.

Hata kiganja cha mkono kimesinyaa.

Hii hali ya uzeekaji wa ghafla na wa speed niliishuhudia kwa Kikwete pia wakati wa uapisho wa Samia kule jeshini Dodoma.
Uongo, wanamtandao wanatengeneza propaganda, picha za AI kuhandaa watu
 
Mkuu wewe ni Kamera za Ikulu?
 
Watu wenye roho mbaya kama shetani huwa hawanenepi maana damu za watu zinawalilia usiku na mchana, usingizi hamna,chakula hakipiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…