Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hayo maandishi yako ya kujikomba kwako wewe ni barua!!?Sasa Kama unajuwa teuzi Hazina barua ya maombi kwanini unasema natafuta uteuzi kwa maandishi yangu
Mimi naeleza ukweli ambao naona wewe kwa akili zako na upeo wako wa kufikiri unaona Ni kujikombaKwani hayo maandishi yako ya kujikomba kwako wewe ni barua!!?
Mimi naeleza ukweli ambao naona wewe kwa akili zako na upeo wako wa kufikiri unaona Ni kujikombaKwani hayo maandishi yako ya kujikomba kwako wewe ni barua!!?
Kwa hiyo unakubaliana na Mimi kuwasifia viongozi mafisadi wa Taifa ni kwamba hujui hata maana ya uzalenda nini?Mimi naeleza ukweli ambao naona wewe kwa akili zako na upeo wako wa kufikiri unaona Ni kujikomba
Nani fisadi? Au unajiandikia tu hapaKwa hiyo unakubaliana na Mimi kuwasifia viongozi mafisadi wa Taifa ni kwamba hujui hata maana ya uzalenda nini?
Ni kweli hujamsikia mh rais mama Samia suluhu kasema Kuna viongozi wameiba mabilioni yamefungua akaunti china tena kazungumza kupitia tbc Taifa ambayo hata wewe mkulima wa jembe la mkono unaisikia au unajizima data kwa hayo mahaba niue yako!Nani fisadi? Au unajiandikia tu hapa
Kilimo Ni Biashara ,Hakuna anayependa kufanya biashara ya kumpa hasara kila mwaka,hivyo acha wakulima nasi tufaidike na jasho letu baada ya kuhangaika na kuhenyeka kwa miaka mingi bila kupata faidaYooote uliompamba ni sawa kabisa ila umeharibu kuweka namba yako ya simu inatufikirisha kama maelezo yako yañatoka kwenye moyo?au ni kuomba kufikiriwa ? Mkumbushe mama njaa aangalie kwenye chakula