Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

Rais Samia ameiheshimisha CCM mitaani

Nani fisadi? Au unajiandikia tu hapa
Ni kweli hujamsikia mh rais mama Samia suluhu kasema Kuna viongozi wameiba mabilioni yamefungua akaunti china tena kazungumza kupitia tbc Taifa ambayo hata wewe mkulima wa jembe la mkono unaisikia au unajizima data kwa hayo mahaba niue yako!
 
Yooote uliompamba ni sawa kabisa ila umeharibu kuweka namba yako ya simu inatufikirisha kama maelezo yako yañatoka kwenye moyo?au ni kuomba kufikiriwa ? Mkumbushe mama njaa aangalie kwenye chakula
 
Yooote uliompamba ni sawa kabisa ila umeharibu kuweka namba yako ya simu inatufikirisha kama maelezo yako yañatoka kwenye moyo?au ni kuomba kufikiriwa ? Mkumbushe mama njaa aangalie kwenye chakula
Kilimo Ni Biashara ,Hakuna anayependa kufanya biashara ya kumpa hasara kila mwaka,hivyo acha wakulima nasi tufaidike na jasho letu baada ya kuhangaika na kuhenyeka kwa miaka mingi bila kupata faida
 
Back
Top Bottom