Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

hajawahi kutatua shida yoyote ni anajua tu kuongea lakini si mtendaji
 
Hakuna raisi anayechukia wafanyahiashara.
Tatizo ni pale tu wanapotaka kudekezwa bila kulipa kodi hapo watamchukia raisi na serikali yake! "Mwambie alipe kodi atakuchukia hatari"
 
Ilikuwa kosa kubwa sana kumpa huyu Mama na Kikwete nchi, wanaturudisha nyuma mno kimaendeleo.

Mliwahi kwenda mbele kimaendeleo, au zile propaganda mfu ndio zikllikufanya uone mna maendeleo?
 
Hakuna raisi anayechukia wafanyahiashara.
Tatizo ni pale tu wanapotaka kudekezwa bila kulipa kodi hapo watamchukia raisi na serikali yake! "Mwambie alipe kodi atakuchukia hatari"

Ulipe kodi ikateketezwe kwenye AC za maVX yanayokaa on muda wote, na kulipia misururu ya viongozi isiyo na tija yoyote? Mimi hapa nilipo nalipa kodi za lazima tu, ninazoweza kukwepa nakwepa. Sina muda wa kodi yangu rais kwenda kugawa huko mabarabarani kusaka sifa za kijinga eti fedha za rais, upuuzi mtupu.
 
Hakuna raisi anayechukia wafanyahiashara.
Tatizo ni pale tu wanapotaka kudekezwa bila kulipa kodi hapo watamchukia raisi na serikali yake! "Mwambie alipe kodi atakuchukia hatari"
Kodi zitumiwe kuwasha AC za ma V8 waziri akiwa mkutanoni?
 
The home of great thinkers! soma tena nilichoandika yaani hujaelewa kabisa!! Unatumia nguvu kulazimisha hoja yako. wasomi halisi hujenga hoja na kuziacha hoja zipingane. nina uhakika umeishi hapa nyumbani miaka yako yote! you need to study "theory of science" and "multidimensions philosophy"

in short si kila unachowaza au kujua wewe as individual ni sahihi, other people have other knowledge and experiences that you will never have

My knowledge comes from living studying and working in very rich European country for ten years ! sio nyie mnaokwenda Ulaya kwenye seminars za wiki moja mnalala hotelini huwezi kuelewa chochote! sie tumeishi nyumba za kupanga uzunguni ten years!
 
Hawa watu ni wapuuzi sana, wote unaoona wanalalamika ni wale waliokuwa wamepewa kazi ya kwenda kukwapua hela za wafanyabiashara na kujichukulia percent zao,

Sasa hizo njia haramu hamna ndo maana wanarukaruka kama mahindi ya popcorn kwenye chungu,
 
Wafanyabiashara ndio wanaolipa kodi na kipatia serikali pesa za kulipa wafanyakazi !
Hilo ukae ukijua
mama anadekeza wafanyabiashara kwa sababu anajua ndo life line yake
 
Umetumia haki yako kikatiba
 
Nchi haiwezinkwenda bila private sector, mosi ndo walipa kodi na pili ndo watu wanatoa ajira kuliko serikali yenyewe,
Mama acha ajenge mahusiano mazuri na wafanyabiashara
 
Pamoja na kuishi ghetto huko majuu, you have not made your point!
Ni mawazo ya ujima kutoshirikisha sekta binafsi katika mipango ya uchumi na maendeleo.
Kufikiri nchi itaendelea kwa kukamua kodi tu ni uhayawani!
 
Wengi wenye akili sasa na mama watakushangaa kama mama!

Eti Marekani, nchi zilizoendelea, wafanyabiashara n.k kweli uko hapa TZ halafu unajitia upofu kwakuwa unapata vya mseleleko sasa?

Opulesi tanganyikani
 
Samia anawajua vizuri sana nyie tumbili na Wala hajali upuuzi wenu,She is focused kujenga Nchi..

Soma hizi statements utapata majibu 👇



 
Mawazo mgando kama haya hakika yanazidi kuididimiza nchi yetu.
Labda hizo hadithi za kijinga akawahubirie mburula wenzie ila kwa watu makini hakuna atakayemsikiliza na tutampuuza na kusonga mbele..

Rais anajua anaongoza kundi la watu wajinga na wapuuzi kwa hiyo huwa hana mda nao.
 
Duplication ya Taasisi haikubaliki na lipingwe vikali ..

Tuna Bank ya Kilimo na ile TADB kwa nini zisiwe na windows za kuwezesha wakulima? Kama kuna shida ya kisheria si wapeleke Sheria Bungeni Ili kuruhusu mabadiliko wanayoyataka badala ya kinda taasisi nyingine?..

Pili kuna banks nyingi tuu ndogo ndogo za Wananchi ,kwa nini wasianze na hizo?

Kwa hapa tuko pamoja,mimi huwa napinga Sana utitiri wa Taasisi za Umma zisizo na tija.
 
Sijazingumzia udhaifu ila nimezungumzia ujanja na ushamba, Mwendazake alikuwa mshamba watu wakalalamika ila kaja mjanja tena kazungukwa na watoto wa mjini ila bado watu wanalalamika.
Malalamiko ya Sasa ni ya mda mfupi ,kwa sababu uchumi ulioharibiwa miaka 6 haujengwi kwa mwaka mmja
 
Maoligarchies walianza kutengenezwa awamu ya nne, mwendazake akawanyamazisha na sasa wanatengenezwa upya kupitia uwekezaji kwenye miradi ya serikali, what a classical economy growth is this?!
Haya yetu macho kwa ushauri anaopewa mama.
Bora Ma olirgachi Wana faida kuliko maskini kama wewe..

Fukara kama wewe ndio umeua kilimo Zimbabwe kwa mausaha mliyojaza vichwani.
 
Tena maskini kama huyu mtoa mada wasipewe nafasi na ikibidi watokomezwe kabisa..

Kwanza waliharibu Sana biashara na kilimo yaani kila mtu akawa maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…