Nakumbuka hata Obama alivyotembelea bongo aliambatana na ujumbe wa wafanya biashara lukuki....Nchi zinaendeshwa na fedha, kama usipokuwa jirani na wafanyabiashara au kuwatengenezea mazingira wezeshi watafanyaje hizo biashara na kulipa kodi au mirabaha???Wafanya biashara sio maadui kwa serikali kama wengine walivyojaribu kuwaaminisha watanzania. Lets think positive sio kila muda kuwaza negatively.
ni kweli lakini si kwa wafanyabiashara kudekezwa na kutegemea soko moja tu kuwa mteja wao ni serikali na ndio maana kampuni nyingi za kitanzania hazihitaji idara ya masoko kwa kuwa wanauhakika wa biashara toka serikaliniUmeandika mengi kama hisia zako au chuki binafsi kwa private sector hujaonyesha hatari iliopo wakishirkiana na sector binfsi.....kwa information yako serikali yoyote ya maana haiwezi kufanikiwa bila private sector
Malalamiko gani hayo ambayo unasema ni ya muda mfupi?Malalamiko ya Sasa ni ya mda mfupi ,kwa sababu uchumi ulioharibiwa miaka 6 haujengwi kwa mwaka mmja
Hili kundi la wajinga na wapuuzi lipo miaka yote au limeibuka kipindi hiki cha Samia?Labda hizo hadithi za kijinga akawahubirie mburula wenzie ila kwa watu makini hakuna atakayemsikiliza na tutampuuza na kusonga mbele..
Rais anajua anaongoza kundi la watu wajinga na wapuuzi kwa hiyo huwa hana mda nao.
Kwa mfano kupanda Kwa gharama za maisha kwani kumeletwa na Serikali? Kwa mfano Makamba anasema kwa sasa uwekezaji Umeongezeka na hivyo mitambo yetu imezidiwa,hili halikutokea awamu ile kwa sababu uchumi ulianguka na hawakufanya uwekezaji wa mda mfupi kwenye umeme kukabiliana na ongezeko la mahitaji wakakimbilia kujenga Bwawa ambalo halina deadline ya kumalizika na Wala halina gharama halisi inayojulikana..Malalamiko gani hayo ambayo unasema ni ya muda mfupi?
Lipo miaka yote ile ukiwa kwenye comfort zone huwezi kuliona..Hili kundi la wajinga na wapuuzi lipo miaka yote au limeibuka kipindi hiki cha Samia?
HAwezi kujua hilo, anakula kwa kulamba makalio ndio maana awamu ikibadilika hutamuona.Umesema kweli ila kuhusu Task force bado zipo sema sasa hivi hawapori ila wanapenda sana rushwa, mkishindana unabaki na deni
Mwambie huyo tumbili kwamba kama wanadekezwa kwa nini Rais juzi Tabora aliziagiza mamlaka kuhakikisha zinakusanya Kodi?HAwezi kujua hilo, anakula kwa kulamba makalio ndio maana awamu ikibadilika hutamuona.
Mkuu lakini kwenye malalamiko ya awamu hii ni zaidi ya hayo unayoita ni ya muda mfupi kama hayo ya umeme ambayo mpaka sasa yanatolewa utetezi tofauti tofauti, kuna matatizo mengine yamerudishwa tena katika hii awamu mambo ambayo tulikuwa tunaanza kuyasahau.Kwa mfano kupanda Kwa gharama za maisha kwani kumeletwa na Serikali? Kwa mfano Makamba anasema kwa sasa uwekezaji Umeongezeka na hivyo mitambo yetu imezidiwa,hili halikutokea awamu ile kwa sababu uchumi ulianguka na hawakufanya uwekezaji wa mda mfupi kwenye umeme kukabiliana na ongezeko la mahitaji wakakimbilia kujenga Bwawa ambalo halina deadline ya kumalizika na Wala halina gharama halisi inayojulikana..
Pili Kwa sasa mafuta yako juu lakini Serikali iliyopita haikuwa kuweka mechanism za kujiandaa na Hali mbaya kama ya Sasa kwa kuanzisha stabilisation fund wala kujenga storage kubwa za mafuta.
Kwenye mafuta ya kula ndio kabisaa walipuuza kilimo miaka yao yote matokeo yake madhara yanaonekana sasa hivi,inamaana.Serikali ya Sasa ndio inaanza kukabiliana na hizi changamoto ambazo zilitakiwa zifanyiwe Kazi hapo awali..
Ndio maana nasema haya yatakuwa maumivu ya mda mfupi yaliyoletwa na Serikali ya awamu ya 5 ya wapumbavu na Sasa awamu ya 6 inachukua hatua .
Yapi? Umeme una majibu Yale Yale ,hamkufanya uwekezaji kwenye mitambo mka enjoy low demand kwa hiyo hakuna kuzidiwa kwa miundombinu..Mkuu lakini kwenye malalamiko ya awamu hii ni zaidi ya hayo unayoita ni ya muda mfupi kama hayo ya umeme ambayo mpaka sasa yanatolewa utetezi tofauti tofauti, kuna matatizo mengine yamerudishwa tena katika hii awamu mambo ambayo tulikuwa tunaanza kuyasahau.
Nimekuelewa sana ukiikabizi nchi kwa wafanya biasha umekwisha tutegemee kurudi YaleNi vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
Nachokijua ni kwamba kwenye kila utawala/awamu malalamiko lazima yawepo sasa kinachotokea sasa hivi wanaolalamika wanaitwa sukuma gang na ndio wewe unawaita wajinga na wapuuzi.Lipo miaka yote ile ukiwa kwenye comfort zone huwezi kuliona..
Kipindi cha serikali ya wajinga ya awamu ya 5 haikuwahi kukumbana na changamoto za Uchumi wa Dunia kama zilizo sasa kwa hiyo wajinga mkawa mnalishana propaganda na matumaini mfu.
Hilo lipo ila sasa Sukuma gang wanatake advantage hiyo kwa kupotosha ukweli ionekane ni uzembe wa Serikali hii au hizo shida zimeletwa na Serikalini hii ndio maana unaona mpina anapotosha Bungeni kwamba mbolea zilipanda kwa sababu serikali iliondoa bulk procurement kwenye mbolea..Nachokijua ni kwamba kwenye kila utawala/awamu malalamiko lazima yawepo sasa kinachotokea sasa hivi wanaolalamika wanaitwa sukuma gang na ndio wewe unawaita wajinga na wapuuzi.
Wacha tuendelee kula mtori, labda nyama zipo chini.Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa IPTL. Kwa kuwapa nguvu wafanyabiashara sasa wako kwenye mashirika ya uma kama ilivyo bodi ya Tanesco.
Wafanyabiashara sasa wanasafiri na Rais kusaini mikataba kama tulivyoona Rostam akifanya. Sasa wafanyabiashara hawagusiki tena. Bahati mbaya wafanyabiashara sasa wanaingiza vijana wao ktk siasa na kuwasimamia kupata uwaziri. Ilikuwa hivyo kwa akina Ngereja na Rostam wake, sasa kamchukuwa Bashe, wamo akina makamba, nk.
Tatizo linaanza kujitokeza kwenye bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na reli ya SGR. Tunamuona rais akianza kuzungumza lugha kwamba watashirikiana na sekta binafsi. Watu binafsi waingie kuzalisha umeme kwa bwawa liliojengwa na serikali! FOOOL! SGR nayo inajengwa na serikali, eti na wafanyabiashara wanunue mabehewa binafsi kama shares zao, kama Ndugai alivyowahi ropoka Bungeni. Nchi inakufa!!
Uhusiano wa wafanyabiashara na serikali siyo wa aina hii. Wao walipe kodi tu! Mfanyabishara makini hahitaji safari ya rais ili akasaini bishara zake, huo ni mtego wa kuingiza mkono Ikulu kama ilivyo sasa hivi. Huu ni wizi na ufisadi unaoanzia Ikulu na rais naye akionesha tamaa ya kufanya biashara.
Ndo maana tunaona lugha za kusema TRA wazungumze na wafanyabiashara, mazungumzo yapi badala ya kufuata sharia za miaka yote? Ktk kilimo Bashe anakuja na hadithi za ruzuku ya mbolea tena ambayo ilitumika kupiga pesa ya serikali. Waagizaji tayari wapo wanasubili GO! Waziri Mkenda alipolinda viwanda vya sukari akaambiwa na rais hiyo ni nonsense! What a hell president is this?
High demand gani imejitokeza kwa mwaka mmoja? Unamwamini ngwini Makamba ambaye kila kitu anasoma kwenye internet? That is fallacy! Higher consumers huwa ni viwanda. Hatuna viwanda vya chuma, tuna factories za plastics. Nini kimeongeza matumizi ya umeme kwa mwaka mmoja huu wa Samia? Ni udanganyifu tu na baadhi yenu kila kinachosemwa na waziri, na hasa kama kuna namba, ni sahihi hata kama munamzidi elimu.Yapi? Umeme una majibu Yale Yale ,hamkufanya uwekezaji kwenye mitambo mka enjoy low demand kwa hiyo hakuna kuzidiwa kwa miundombinu..
Mwaka mmja tuu zaidi ya dola bil.8 zimewekwa kwenye uchumi zinahaitaji umeme wa uhakika na miundombinu ya uhakika ambayo hamkufanya nyie wajinga wa awamu ya 5..
Malalamiko mengine ni yapi?
Wanaleta tija kwa kuihujumu nchi?Na wewe weka,Bora wawekwe hao wanaleta tija kuliko zile takataka zilizofanya uharibifu za huko Chato/Usukumani.
Mtazamo wa samia ni kuwapromote fisadi kama eti ni wawekezaji binafsi. Watanzania tuwe tayari kumpinga samia kwani ni agent wa wafanyabiashara fisadi. Muwekezaji anawekeza miradi yake sio kudandia miradi ya umma mikubwa kama sgr na bwawa la nyerere afaidike bure kwa uwekezaji wa umma huku riski inabebwa na serikali. Lazima tusimame imara kuwatimua wezi wa umma.
Wanaleta tija kwa kuihujumu nchi?
Mnaiuza nchi kwa wakina Rostam kwa kupangiwa chumba hotel ya Ritz Carlton New York na kupewa vijidollar vya kufanya shopping?
Mzalendo wa kweli hawezi kushiriki vitendo vya kifisadi vinavyoendelea!
Kama hujui mchango wa wafanyabiashara nchi hii Bora ukae kimya[emoji3525]