Ni jambo jema.Bado kuugawa mkoa wa Morogoro ni mkubwa mno na mikoa mingine piaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
View attachment 3449556
Kwani mji gani sio wa zamani?Mbona mji wa zamani Sana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
View attachment 3449556
Mji wa kitu gani mahame ya washirazi?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
View attachment 3449556
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
Kwani Kuna ugumu gani kuweka hizo huduma muhimu kwa wananchi na ibaki hivyohivyo halmashauri ya wilaya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
View attachment 3449556
Mbona kama una chuki binafsi na hasira?Mji wa kitu gani mahame ya washirazi?
Jamii ya Bagamoyo hawana upeo wa kuubadilisha mji wa Bagamoyo kuwa chochote labda wasaidiwe na serikali au waamue kuhamia jamii zingine kutoka bara lakini hao wakwere, wadoe na wazaramu ni chngamoto sana.
Just imagine kuboreshwa tu bandari ya mji mkongwe wenyeji ilikuwa shida kuambiwa wasogee mbali maneno yakawa mengi sana
Mchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais โ TAMISEMI, ๐๐ก๐. ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ซ๐ฐ๐, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ๐๐ก๐. ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo.
Ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha taratibu zote za kisheria zinakamilika haraka, ikiwemo kuchapisha tangazo rasmi kwenye Gazeti la Serikali, ili mchakato huo ukamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi.
Katika ziara ya kikazi mkoani Pwani, Waziri Mchengerwa alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta za afya, elimu na miundombinu.
View attachment 3449556
Labda ndio mpango.Mji mkuu wa Mzee wa msoga na baadae tutaufanya mkoa kabisaa